Nani zaidi kati ya Ray C na Lady Jaydee?

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
906
Reaction score
2,488
Kuna magwiji wawili wa muziki wa kisasa kwa upande wa wanawake Tanzania—wanadada Rehema Chalamila (Ray C) na Lady Jaydee (Komando).

1752051818533.png

Kwa kuangalia melody, sauti, mashairi, pamoja na nyimbo walizoimba, walizoshirikishwa na kushirikiana na wasanii wengine—unaenda na nani?

Mimi binafsi, Ray C alinivutia zaidi; ana sauti nzuri na nyimbo nzuri sana.

Tuone kidogo hapa

  1. Mahaba ya dhaati
  2. Uko wapi
  3. Sogea Sogea
  4. Wanifuatia nini
  5. Na wewe milele
  6. Sikuhitaji
Kuna zile alishirikishwa na nako 2 nako kwa ajili yako aliua sana👊, mama ntilie, Kama vipi ft mez B ,Baby ft Chidy benz na nyingine nyingi...
Twende kazi vip kwa upande wako
 
Kwa sauti na melody ray c yuko juu ule wimbo wa uko wapi jinsi unavyoimba na kuendana na melody pamoja na beat she's smart

komando jide yeye yuko vizuri kwa mashairi (lyrics) ila sauti zero melody kama analazimisha si mwimbaji wa bongo fleva bali anaimba gosper
 
Ahsante umefafanua vizuri lady jaydee kwenye sauti sio mzuri sana
 
Huu uzi bila diamond platinum mkuu umezingua...
Ni sawa na kuleta story za Facebook hapa jamii forum..

Huu ni dhahili ni UTOTO
Muweke mond hapo ndo naweza comment... Je una mda gani jf

Simba la masimba dangote
We zombi haujui
 
Kwa sauti na melody ray c yuko juu ule wimbo wa uko wapi jinsi unavyoimba na kuendana na melody pamoja na beat she's smart

komando jide yeye yuko vizuri kwa mashairi (lyrics) ila sauti zero melody kama analazimisha si mwimbaji wa bongo fleva bali anaimba gosper
Ahsante umefafanua vizuri lady jaydee kwenye sauti sio mzuri sana
images (28).jpeg
 
Kumfananisha Jide na Ray C ni kumkosea heshima, Jide ni full package!
 
Kuna magwiji wawili wa muziki wa kisasa kwa upande wa wanawake Tanzania—wanadada Rehema Chalamila (Ray C) na Lady Jaydee (Komando).

Kwa kuangalia melody, sauti, mashairi, pamoja na nyimbo walizoimba, walizoshirikishwa na kushirikiana na wasanii wengine—unaenda na nani?

Mimi binafsi, Ray C alinivutia zaidi; ana sauti nzuri na nyimbo nzuri sana.

Tuone kidogo hapa

  1. Mahaba ya dhaati
  2. Uko wapi
  3. Sogea Sogea
  4. Wanifuatia nini
  5. Na wewe milele
  6. Sikuhitaji
Kuna zile alishirikishwa na nako 2 nako kwa ajili yako aliua sana👊, mama ntilie, Kama vipi ft mez B ,Baby ft Chidy benz na nyingine nyingi...
Twende kazi vip kwa upande wako
Nimerudia mara mbili mbili kuangalia huu uzi ni wa lini... akilini nilidhani ni wa 2013
 
Back
Top Bottom