Nani zaidi kati ya konda na madent

Nani zaidi kati ya konda na madent

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,254
Sikia hii

KONDA: "Denti achieni viti sogeeni nyuma,,
halafu madenti wa siku hizi usharobaro tu elimu sifuri,,
enzi zetu mtu ukitoka shule unakuwa na kitu kichwani..."
DENTI: "Acha matusi tunasoma na tunaelewa sana..."
KONDA:"Kama unaelewa nambie 3x3 ngapi??"
DENTI: "33...."
KONDA: "Huna lolote umebahatisha au atakuwa kakutajia mwenzio huko
nyuma!!!!"
 
Wote watakuwa dv5 ya mulugo jibu la 333 ye anasema 33 mbona simpo tu? 3 mara 3 si 3,3,3=333?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom