Nani zaidi kati ya David cameron na Barrack Obama.

Nani zaidi kati ya David cameron na Barrack Obama.

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
17,894
Reaction score
33,702
Wadau naangalia hapa CNN,kuna mkutano wa G7 na nikipindi cha maswali na majibu.binafsi naona D.cameron anajibu hoja na maswali vzr sana kuliko Obama na kiingereza chake kimenyoka sio cha kusita sita cha Obama
 
Wadau naangalia hapa CNN,kuna mkutano wa G7 na nikipindi cha maswali na majibu.binafsi naona D.cameron anajibu hoja na maswali vzr sana kuliko Obama na kiingereza chake kimenyoka sio cha kusita sita kama cha Obama
 
staili ya wamarekan kwenye mambo mazito
 
Haya ZERO IQ, endelea kulinganisha British english na American english!
Wadau naangalia hapa CNN,kuna mkutano wa G7 na nikipindi cha maswali na majibu.binafsi naona D.cameron anajibu hoja na maswali vzr sana kuliko Obama na kiingereza chake kimenyoka sio cha kusita sita cha Obama
 
Last edited by a moderator:
Utalinganishaje british english na american english?

wote kingeraza sio ndio lugha yao ya kwanza,hata hvyo nia yng ni kujua unahisi ni nani zaidi hasa ktk uwanja wa siasa ukiachilia mbali lugha?
 
kinyesi.

Wadau naangalia hapa CNN,kuna mkutano wa G7 na nikipindi cha maswali na majibu.binafsi naona D.cameron anajibu hoja na maswali vzr sana kuliko Obama na kiingereza chake kimenyoka sio cha kusita sita cha Obama
 
ukiachana na hilo,ni nani mahiri na mwenye uwezo kwenye siasa kuzidi mwngne,binafsi naona cameroni ypo vzr zaid ya obama

Wote wapuuzi tu. Wanaongelea mambo ya kujinufaisha wenyewe na raia wao. Hata kwa gharama yoyote hata kama ni kumwaga damu. We ungeona facts of reality kama wakipambanishwa na mzee mzima PUTIN. Alafu sijui wabongo wakoje. yaani kiingereza ndo kila kitu. Duh! hapo ndo nachoka.......... hata kama pumba, lakini as long as he/she is talking good english tu, baaaaaasi.........LOL
 
Waandishi wa habari wa bongo wanaandikiwa maswali na majibu ili waulize
 
Back
Top Bottom