Nani zaidi hapa!

Luckyperc naomba niulize nani zaidi katika kugo aound the world au kitu gani?
 
wa kwanza ndiye vascodagama
alipata tabu nyingi sana
alizunguka africa nzima
na kwenda zake ulaya.

sasa tufurahie,
tumempata mkombozi,
tena yeye ni mtanzania.
jina lake ni Nyerere.

wale tuliosoma mwaka 47 watanisahihisha hako kawimbo.
 
Watu mnaubunifu aisee. Nimejikuta nacheka bila kupenda.
 
we mwenyewe unaona nani kamzidi mwenzie
 
Jk yupo juu zaidi, ila kama akienda washington akakutana na maandamano yaliyo andaliwa, na mabango yenye ujumbe mzito, safari zake zitapungua. Kama ataendelea na safari basi hana mshipa wa aibu
 
Mmoja anatafuta wawekezaji na mwingine anawekeza mwenyewe.mmoja Anasafiri kwa ndege mwingine anasafiri kwa meli,mmoja ana midevu mwinngine haana.mmoja amechaguliwa kuwa kiongozi mwingine anajiongoza mwenyewe anajichagulia mwenyewe.mmoja ni docta mwingine ni mvumbuzi.ndiye anayeifanya afrika ya kusini leo hii inaongoza kiuchumi barani afrika na mwingine ndiye anayeIfanya tanzania iwe ya mwisho barani afrika
 


Hahahaaaa nimependa sana huu ulinganifu. hasa hapo penye red
 

:clap2😀UNIANI
 

:clap2:duniani

:A S thumbs_down:africa ya mashariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…