Edit hapo DR. EMMANUEL NCHIMBI sio JOHN NCHIMBI hata hivyo hakuna yeyote hapo wote hamna kituKatika Kinyang'anyiro cha Urais 2015 nani anafaa zaidi kati ya Januari Makamba na Dr. John Nchimbi?
....wote hovyo tu...
Subirini mbeba mabox naye akitupiwa pande kwenye kijikampuni chake na jamaa zake wa CCM pichani basi sio kitambo mtasikia anakuja na single ya Urahisi
Ngedere na Nyani katika shamba la maindi, nani bora?
View attachment 125248Ndomboloooooeeeeeee .....
Hahahahahahaha,kumbe jamaa ni libeba mizigo(kuli) bandarini imagine nilikuwa najiuliza sana maswali why is he posting such non sense and he looks like a responsible man,sasa ndo nimeanza kumuelewa,kumbe tatizo sio lake ni kazi anazofanya ndo zinamuongoza kufanya hivyo,pole chris