Nani zaid kati ya Januari Makamba na Dr. John Nchimbi urais 2015!

Katika Kinyang'anyiro cha Urais 2015 nani anafaa zaidi kati ya Januari Makamba na Dr. John Nchimbi?

Hii inadhihirisha kwamba CCM ina hazina kubwa ya viongozi,wanachama wana wigo mpana wa kuchagua.........sio pale Ufipa street (chadomo) kila siku walewale, wakijitokeza wengine eti ni wahaini,wasaliti wazandiki na shutuma kibao
 
ILIKUWANIFURAHATUPUMHESHIMIWAALLYKESSYALIPOKUTANANAKIJANAWAKECHRISLUKOSI.jpg


Huyu jamaa ni mtoto wa huyu mzee hapa chini au? Mbona wamefanana hivi?

attachment.php
 
Katika Kinyang'anyiro cha Urais 2015 nani anafaa zaidi kati ya Januari Makamba na Dr. John Nchimbi?

kwa mwendo huu, kweli sasa nimeamini ikulu yetu imeingiwa najisi na imekuwa makao ya kila mwendawazimu!
 
Back
Top Bottom