Nani zaid kati ya Januari Makamba na Dr. John Nchimbi urais 2015!

dmvuno

Member
May 27, 2012
93
20
Katika Kinyang'anyiro cha Urais 2015 nani anafaa zaidi kati ya Januari Makamba na Dr. John Nchimbi?
 
Katika Kinyang'anyiro cha Urais 2015 nani anafaa zaidi kati ya Januari Makamba na Dr. John Nchimbi?
Edit hapo DR. EMMANUEL NCHIMBI sio JOHN NCHIMBI hata hivyo hakuna yeyote hapo wote hamna kitu
 
image.jpg Ndomboloooooeeeeeee .....
 
....wote hovyo tu...

Subirini mbeba mabox naye akitupiwa pande kwenye kijikampuni chake na jamaa zake wa CCM pichani basi sio kitambo mtasikia anakuja na single ya Urahisi

ILIKUWANIFURAHATUPUMHESHIMIWAALLYKESSYALIPOKUTANANAKIJANAWAKECHRISLUKOSI.jpg
 
MOD please thread zingine nizaajabu sana ambazo zinachafua jukwaa,please embu delete huu uchafu hapa,huyu naye hana kazi ya kufanya unaleta uchafu hapa ku.......................wewe
 
Subirini mbeba mabox naye akitupiwa pande kwenye kijikampuni chake na jamaa zake wa CCM pichani basi sio kitambo mtasikia anakuja na single ya Urahisi

ILIKUWANIFURAHATUPUMHESHIMIWAALLYKESSYALIPOKUTANANAKIJANAWAKECHRISLUKOSI.jpg

Hahahahahahaha,kumbe jamaa ni libeba mizigo(kuli) bandarini imagine nilikuwa najiuliza sana maswali why is he posting such non sense and he looks like a responsible man,sasa ndo nimeanza kumuelewa,kumbe tatizo sio lake ni kazi anazofanya ndo zinamuongoza kufanya hivyo,pole chris
 
Wote hata majina yao yanaboa,jk kaufanya URAIS kuonekana kama kiranja wa darasa la 4 b
 
Hahahahahahaha,kumbe jamaa ni libeba mizigo(kuli) bandarini imagine nilikuwa najiuliza sana maswali why is he posting such non sense and he looks like a responsible man,sasa ndo nimeanza kumuelewa,kumbe tatizo sio lake ni kazi anazofanya ndo zinamuongoza kufanya hivyo,pole chris

!
!
sema labda mie nilichoona kwa huyu bwana ni kwamba koti hilo na hiyo tshirt sijui ni shati ni uniform zake hizo kila picha ni hizohizo
 
Mmoja kaiba mtihani wa sekondari, mmoja kafeki doctorate. I guess kama ndio hao tu, yoyote anafaa!
 
hakuna hata mmoja anaefaa ndani ya CCM
vijana wanataka mabadiliko na sio chama kilichoshindwa kutukomboa
 
Back
Top Bottom