Obama is eloquent? Girl please....have you ever heard him speak extemporaneously? He stutters like he has a speech problem. He just reads the teleprompter well and that has got many people fooled that he is a great orator.
When it comes to people's beliefs I usually have no argument. So go ahead and believe whatever it is that you want. Heck, for all I care you can go ahead and believe you are the United Kingdom of Great Britain's princess to be.
He is eloquent....
aha ah ah haaaaaaaaaaaa......dalili za kusihiwa hoja unaanza hadi kuniwekea imagination ya Katie Middleton kwenye akili yangu...i believe am a Princess of Mr .......... and thats enough.....he he he he.....!!
Mama Sitti Mwinyi nyuma ya Mzee Mwinyi???Mama Salma Nyuma ya Kikwete???????????????????Anna nyuma ya Mkapa??????????na yule nyuma ya Mwai Kibaki???????????????????????????????????????????? yote ni nguvu ya hawa wakina mama??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
NN you are right tena especially on the Pervasive SexismActually nakubaliana kabisa na mtazamo wako. Sijui kama ulikuwepo hapa kati ya 2007 - 2008. JF massive karibu yote ilikuwa nyuma ya Obama wakati mimi tu ndo nilikuwa nyuma ya Mama. Na ukiangalia debates zao za primaries, Mama alikuwa akimfunika sana Obama. Yule Mama achana naye bana. She knows her sh*t.
Kilichomkwamisha ni pervasive sexism iliyoota mizizi katika jamii ya Kimarekani.
Sishangai kuona Marekani wakawa na one term president coming next yearUko sahihi kabisa my brother......Hillary is stronger to Obama tena sana tu....mpaka inaboa....ila kwa upande mwingine nachoamini ni kuwa Hillary kuwa mke wa Clinton/senator wa New York/na kuwa na political experience ya siasa za ndani na nje ya Marekani kulimjenga sana tofauti na Obama na kwa misingi hiyo angeweza kuiendesha Marekani vizuri zaidi na ikabaki kuwa na heshima kuliko Obama....on the other hand,Michelle is stronger than Obama...!
Michelle alikuwa sahihi....mama anajiamini sana na kusema ukweli kwa kumsikiliza ana nguvu na uwezo wa kumtengeneza Rais wa Marekani....usisahau...."Behind every successful man there is a strong,smart and intelligent woman".....!
I love her confidence....thanks DC!
Sishangai kuona Marekani wakawa na one term president coming next year
Hiyo uko sahihi,naona mwanamama Sarah Palin chokochoko zake haziishiBut you know if that happens some people will play the race card as if Obama is only destined to win.
Ahsante Michelle,
Swali kubwa ambalo nimejiuliza ni hili, hivi Obama angemwoa mwanamke mwingine asingeweza kuwa Rais wa US? Na tukikubaliana na wewe ina maana kwamba uwezo alionao ambao ulimwezesha kuwa Rais aliupata kwa sababu alimwoa Michelle?
Nafikiria tu,....Mzee DC!!!
DC, Obama asingeweza kumwoa mwanamke mwingine coz Michelle ndiye mkewe! inawezekana asingemwoa Michelle asingekuwa Obama tunayemfahamu. .....napita njia nimeacha mboga jikoni mwayego
NN, TF na Michelle....order please...order in the house!!!!!!!!!!!
Hoja ni kuwa, mtu yeyote ambaye angemwoa Michelle angekuwa Rais? Na Obama bila kumwoa Michelle asingekuwa Rais???
Michelle alikuwa sahihi....mama anajiamini sana na kusema ukweli kwa kumsikiliza ana nguvu na uwezo wa kumtengeneza Rais wa Marekani....usisahau...."Behind every successful man there is a strong,smart and intelligent woman".....!
I love her confidence....thanks DC!
Uko sahihi kabisa my brother......Hillary is stronger to Obama tena sana tu....mpaka inaboa....ila kwa upande mwingine nachoamini ni kuwa Hillary kuwa mke wa Clinton/senator wa New York/na kuwa na political experience ya siasa za ndani na nje ya Marekani kulimjenga sana tofauti na Obama na kwa misingi hiyo angeweza kuiendesha Marekani vizuri zaidi na ikabaki kuwa na heshima kuliko Obama....on the other hand,Michelle is stronger than Obama...!
Uko sahihi kabisa my brother......Hillary is stronger to Obama tena sana tu....mpaka inaboa....ila kwa upande mwingine nachoamini ni kuwa Hillary kuwa mke wa Clinton/senator wa New York/na kuwa na political experience ya siasa za ndani na nje ya Marekani kulimjenga sana tofauti na Obama na kwa misingi hiyo angeweza kuiendesha Marekani vizuri zaidi na ikabaki kuwa na heshima kuliko Obama....on the other hand,Michelle is stronger than Obama...!
Kuna mwingine anaitwa Lucy Kibaki...............................................
Ongezea na Martha Karua japo si mke wa Rais.
Hehehehee Lucy Kibaki mwisho aisee. Kuna wakati nadhani alimlazimisha mumewe kuitisha press conference kukanusha madai ya kuwa ana hawara au sijui kazaa nje ya ndoa. Sasa Lucy alikuwa kasimama pembeni ya Mwai wakati Mwai anakanusha. Yule mama unamwona kabisa alikuwa anafukuta ndani maana alikuwa anahema tena ile mihemo ya hasira.
Lucy kiboko aisee. Halafu nakumbuka alivyomfuata mwandishi mmoja wa habari ofisini kwake na kumzaba vibao.