Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,152
- 137,155
Nashukuru Mkuu wangu sasa nimeelewa. Tuendelee kujadili.
Nami nashukuru kwa wewe kuelewa. Haya endeleeni kuwaza na kuwazua.
Nashukuru Mkuu wangu sasa nimeelewa. Tuendelee kujadili.
:yawn:Michelle alikuwa sahihi....mama anajiamini sana na kusema ukweli kwa kumsikiliza ana nguvu na uwezo wa kumtengeneza Rais wa Marekani....usisahau...."Behind every successful man there is a strong,smart and intelligent woman".....!
I love her confidence....thanks DC!