DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,908
- 18,406
Aisee Huenda maana sio kawaida eti mkataba usijadiliweUchaguzi 2025 mzamini wa ccm ni GSM
Kazi kweli kweli......wanahofia nini wadau wakiujadili ?Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC,na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga..
baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF,TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa kuhoji kuhusu Mkataba huo..
Je hii ni sahihi kwa mustakabali wa Ufanisi wa Soka letu..
Inawezekanaje Mdhamini wa Ligi awe ndo Mdhamini wa Timu Ndani ya Ligi na adhamini timu zaidi ya Mbili na ukihoji unatisihiwa kuchukuliwa hatua..
wananchi tushtuke...
PIa soma..
Mashabiki wa Simba wamehamia kwenye kumshutumu GSM kudhamini timu zaidi ya 6
Kuna upepo hivi sasaa unasambaa kama moto wa petrol kuwa inakuwaje kwenye ligi moja mdhamini aweze kudhamini timu 6 kwenye ligi moja? Kwa maana hiyo hizi timu ndogo zinazodhaminiwa na GSM zinaipa yanga matokeo ya bure kwa sababu tu zinatokana na mdhamini kuwa mmoja. Swali la kujiuliza je SIMBA...www.jamiiforums.com
View attachment 2932503
Kwani huo.Mkataba una nini?wakiutolea.ufafanuzi tukajua vipengele vyakeHapa ndipo ninapompa heshima Mzee Rage kuwa mashabiki wa Simba ni mbumbumbu, yaani badala ya kushughulikia matatizo ya uongozi na timu yenu mbovu mnahangaika na mkataba wa GSM,ndio wakina Mangungu wanawafanyia watakavyo.
Sasa hapo unajiona umeendika point siyo?Hapa ndipo ninapompa heshima Mzee Rage kuwa mashabiki wa Simba ni mbumbumbu, yaani badala ya kushughulikia matatizo ya uongozi na timu yenu mbovu mnahangaika na mkataba wa GSM,ndio wakina Mangungu wanawafanyia watakavyo.
Kuna mikataba ina confidentiality clause wala sio ajabuAisee Huenda maana sio kawaida eti mkataba usijadiliwe
Sawa ila lazma uhojiwe na Interested part..Kuna mikataba ina confidentiality clause wala sio ajabu
Timu za Tanzania zina hali ngumu sana kiuchumi kwa ligi ya Tanzania inahitaji wawekezaji a.k.a masponsor wengiBaada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC,na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga..
baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF, TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa kuhoji kuhusu Mkataba huo.
Je, hii ni sahihi kwa mustakabali wa Ufanisi wa Soka letu.
Inawezekanaje Mdhamini wa Ligi awe ndo Mdhamini wa Timu Ndani ya Ligi na adhamini timu zaidi ya Mbili na ukihoji unatisihiwa kuchukuliwa hatua.
wananchi tushtuke.
PIa soma.
Mashabiki wa Simba wamehamia kwenye kumshutumu GSM kudhamini timu zaidi ya 6
Kuna upepo hivi sasaa unasambaa kama moto wa petrol kuwa inakuwaje kwenye ligi moja mdhamini aweze kudhamini timu 6 kwenye ligi moja? Kwa maana hiyo hizi timu ndogo zinazodhaminiwa na GSM zinaipa yanga matokeo ya bure kwa sababu tu zinatokana na mdhamini kuwa mmoja. Swali la kujiuliza je SIMBA...www.jamiiforums.com
View attachment 2932503
Hivi kwa mfano MO angedhamini Mngesema hivyo???Timu za Tanzania zina hali ngumu sana kiuchumi kwa ligi ya Tanzania inahitaji wawekezaji a.k.a masponsor wengi
Unawakataa gsm wasidhamini timu unajua hali ya uchumi ya timu ndogo tusiwe tunaongea kishabiki
Mimi siongelei kishabiki wa Yanga na SimbaHivi kwa mfano MO angedhamini Mngesema hivyo???
Harafu anatumia UYanga kutatua matatizo wakati mimi Yanga ila naona hakuna mkataba wa hivyo wa TFF wale hela harafu Timu zivae jezi zenye mdhamini wa Timu moja kubwa hiyo haipo sawa kabisa kwenye Mpira wa miguu...Sasa hapo unajiona umeendika point siyo?
Azam inadhamini timu zote na Yanga inatumia uwanja wa Azam na kipigo Kiko palepale Tu wanakandwa.Hivi kwa mfano MO angedhamini Mngesema hivyo???
Hujakatazwa kuhoji, ila kawaulize TFF au GSM hao ndiyo wanaweza kutoa ufafanuzi.Sawa ila lazma uhojiwe na Interested part..
Yaani huwezi kuzuia Mimi Nisihoji Kuhusu Kitu ambacho mimi ni Mmoja wa aidha waathirika au wanufaika kwa namna moja ama nyingine