Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Hahahaha naukumbuka mie nlikua napitata pita bembeni tu mana sina wowowo la kuchezea mduara lol
Nambe yeye alipanda juu ya kiti asa
Heeee makubwa haya!!! Huo mduara ulichezwa mwaka 90 vo si ya leo kama ubwabwa basi tunaita kiporo
We ulikuwa ukienda wrong direction ha ha ha Ngongoseke yupo wapi?? Nambe ntamtunza ajiachie tu lol!!
Poa mdau...nipo Escape 1 nafanya yangu, sina usingizi kabisa...
Ndio wapi?
Itabidi tukipashe moto kiporo lol!!Heeee makubwa haya!!! Huo mduara ulichezwa mwaka 90 vo si ya leo kama ubwabwa basi tunaita kiporo
Escape 1 ipo along mwai kibaki road, maeneo karibia na msasani beach...
Itabidi tukipashe moto kiporo lol!!
Pasha na kile cha khadija kopa lol na diomond
Haya ahsanteee kwa direction
Habari zenu wakuu?
Nzuri za masiku??Habari zenu wakuu?
Nzuri za kwako
Habari zenu wakuu?
Poa kbs, miss u guys!! Long time eh dunia ngumu
Haya mkalale sasa
Jamaniiiii we mvona hulali
Nzuri za kwako