Sidhani kama ni jana ila kuna akinamama 10 walifariki papohapo,maeneo ya mkoa wa kilimanjaro,walikua ndani ya pickup,
bro kakimbia huku ukame bustani zinahitaji kumwagilia ngasoka Hoe mie
Excel ana wivu........rufaa yake imetupiliwa mbaliAlafu mkuu Excel nilipata kesi yako eti umemkatia rufaa Heaven on Earth kuwa hastahili kuongoza kwa kupost chit chat.
Basi ntampiga tafu siyo vibaya jahazi haliwezi kuzama wakati nipo sema nikija nikuletee nini upendacho.
na daslama siku hizi kuna kijibaridi ile mbaya
Basi ntakuletea ndizi ule taratibu kwa madoido ila usimeze mbegu zikiota zitafanana na mie aha aha
we njoo wewe tu........
Waaacha weee ndizi zina mbegu siku izi
Mkuu taratibu we si leo upo na shemeji ?
asante mamii! na kibaridi hiki mwanana! mambo yataenda kama ilivyopangwa!mlango uko wazi pita hadi chumbani oups hadi sebulen
Hamuamki tuuu?
leo nimelala hadi saa 4....ningekuwa nahitajika job ningeshakua na msala
asante mamii! na kibaridi hiki mwanana! mambo yataenda kama ilivyopangwa!
nipe, nikupe!- hiyo ndo habari ya mjini kwa hali hii ya hewa!
Hahahahahahha mi bado niko bana mliniacha mwenyewe nimekeshajee!!
Mambo aje HOE?
Mkuu vp mzima mi bado nimelala tu.