hotuba ya jk link hii hapa
SOMA HOTUBA YA JK ALIPOLIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA ~ FASIHI MEDIA INC. 'Mwanafasihi Mahiri'
hotuba ya warioba link hii hapa
basi mkuu napiga kimyaMkuu mambo gani haya umeleta huku.
basi mkuu napiga kimya
Mambo vp mkuu Mndengereko shwari njooni huku ndo mda wenyewe huu Jawilat , Excel, Ngongoseke , Jerrymsigwa mbiu ya mgambo imelia.
billy afadhali nimekukutaMambo vp mkuu Mndengereko shwari njooni huku ndo mda wenyewe huu Jawilat , Excel, Ngongoseke , Jerrymsigwa , Rugebwe 78 , Red Giant , charminglady , Nambe njooni huku mbiu ya mgambo imelia.
Niko na shemeji ako leo
mko cha ngapi au bado hamjaanza
Yani swali hilo duh ngoja kwanza niombe ushauri hapa..ntakujibu
nimefika aisee!! mweupe na mwepesi kabisa for ze mission!Mambo vp mkuu Mndengereko shwari njooni huku ndo mda wenyewe huu Jawilat , Excel, Ngongoseke , Jerrymsigwa , Rugebwe 78 , Red Giant , charminglady , Nambe njooni huku mbiu ya mgambo imelia.
nimefika aisee!! mweupe na mwepesi kabisa for ze mission!
bring bling bling!
mnalalaga saa ngapi huku
leo nimeachwa mwenyewe lindoni
hahaaa uombe ushauri kwa wifi yetu ama wapi
Habari zenu jamani!?
Ndio kasema nisiseme
nipo nawe malikia.... niachie mlango wazi tu!
mishe zinaenda?