Nani yuko macho tupige stori?

Nimevaa miwani najitahidi kupambana na miwani muda huu si umesikia tena uzee tuliuacha chalinze?
 
Hii thead tumetoka nayo mbali ingawa kwa sasa wadau awaichangamkii tena mi nilikua likizo ya miezi 5 kosa langu sitoweka hapa ila kwa leo nawaita tu wakongwe Ngongoseke , farkhina, Jerrymsigwa etc karibuni tufufue thread.

Kuna watu nimewamiss sana hapa mimi niko salama sijui wenzangu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu niaje vipi ulishauza vile vipuri vya mnara? Mis u too.

Zile Ngoma za voda niliuza,nikahama kabisa pale nachingwea,nikahamia kisarawe nikafungua biashara ya kuuza sembe la azam,mambo yalipokaa sawa nikaenda feri kuzamia kitu cha mgiriki wiki 3 kitu kinaunguruma nikajua nishafika kwa madiba,hee kumbe kitu kigamboni hiyo,ndio hivyo nimefungua genge tu hapa siku zasonga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…