Nani wanagawana RUAHA NATIONAL PARK? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani wanagawana RUAHA NATIONAL PARK?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Mnyamahodzo, Mar 19, 2011.

 1. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Waliigawa na kugawana Loliondo,kisha Serengeti, Ngorongoro,....then Selous baada ya Katavi lakini kabla ya Ruaha.

  Ni kwanini wagawane kwa kasi sana ktk kipindi hiki cha miaka 3.
  Kwanini wajimilikishe urithi wetu na kuufanya ni wa kwao?
  Kwanini watumie kile walichotupora na kukifanya chao,na kisha kuja kupumzika na mahawara zao?

  Kila anayejitokeza kwenye mbuga hii yenye tembo na wanyama wengine wengi anataka aonekane ni mkubwa.
  Wanajenga na Hotel!!!
  Swali langu ni wakina nani hasa waliogawana Ruaha na je mgawanyo huo ulifanywa lini kwa uwiano upi haswa, na trend ya utekelezaji wake ikoje?(najua wengine ni vibaraka kama si vibarua ila wanajikuza kuwa ndiyo haswa)
  Nawasilisha!!
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  tupatie some clues, kwani imekuwaje? umeona nn tafadhali. sounds terrific!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  shame on Kikwete.. And Mkapa. And Mwinyi.
   
 4. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mkuu mtoa mada hii mbona haijatulia.Toa details au clues zaidi, Ruaha ni kubwa, wamegawana wapi, maana kweli kuna tembo wengi, na ndiyo akina Mulla kule rujewa, na hata hao mabulushi wa asas, na magiriki wa maji wamekuwa wakiponea kwa miaka mingi
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,162
  Trophy Points: 280
  Pumba!
   
 6. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sijamwelewa mtoa mada hata kidigo!
   
 7. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mull anasehemu nyingi za uporaji. Yes, inawezekana Ruaha ikawa mojawapo.
  Wagiriki wa Nzi wamekuwa wanadeal sana na tumbaku. Hata kama walikuwa wakichezea hiyo kitu lakini si kwa fujo kama sasa. Ya sasa kama komba ugali tule.
  ASAS.....mhhh!! Hapa lipo neno.
   
 8. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  "Utakapojua hujui ndipo utakapojua. Tunahitaji kujua kwasababu hatujui...." Ansbert Ngurumo (www.ngurumo.blogspot.com)
   
Loading...