Nani wameteuliwa kugombea ubunge Geita na Mwanga?

Kifai

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
816
172
Naomba mnijuze nani aliyeteuliwa kugombea ubunge jimbo la geita mjini pamoja na jimbo la mwanga mkoani kilimanjaro
 
Geita Mjini: CCM ni Ndugu Costantine John Kanyansu, UKAWA hawajateua bado

Mwanga: CCM ni Profesa Jumanne A. Maghembe, UKAWA hawajateua bado
 
Hivi wanasubiri nini kuteua hapa geita jamani, wakijichanganya wasipompa rojaz wameisha
 
Niko nasahanga Jimbo la Mkuranga UKAWA wamemkata kijana Baraka Mwago wa Chadema na kuwapa CUF. Kijana Mwago alikuwa anajituma sana kwa gharama zake kuhamasisha watu kujiandikisha BVR, kupiga kampeni ya kuitambulisha Chadema na mwishowe akashinda kura za maoni ndani ya Chadema, lakini wamemukataaa!! Jimbo likienda CCM asilaumiwe mtu bali uamuzi mbaya ndani ya UKAWA.
 
Mimi nasema hivi ukawa wakijichanganya jimbo la geita wasipompa rojaz wanapigwa asubuhi sana, wana geita mjini wanamtaka rojaz ndiyo chaguo letu
 
Chadema wanaudhi sana walichokifanya bunda na sengerema sijui tu, ngoja tuone bhana
 
Jmn huwezi kumlizisha kila mtu kuna nafasi nyingi sana serekali.wale mtakao vumilia hadi mwisho tulieni
 
Chadema wanaudhi sana walichokifanya bunda na sengerema sijui tu, ngoja tuone bhana

Watu wa bunda inaonekana BEI YENU NI RAHISI SANA ! Kwann mpo hivi njaa zitawaua.
Mwaka 2010 mlimuuzia wasira jimbo pamoja na kuonyesha mgombea wenu wa CDMA KUSHINDA,
juzi tunaona wasira wanamtangaza ktk kula za maoni kwa ulinzi wa police hukohuko ndani ya CCM!!!
Jana ester bulaya wanamnyima form nec WASIRA FTNA, LEO TUNAONA VIONGOZI WA CDMA WANAJITOA WANARUDI CCM
HAMUONI KAMA MNANUNULIWA NYINYI??
Pius na ester nan ananguvu,?
Wasira anafanya hizo fitina akijua wazi kuwa ESTER ATASHINDWA KUMNUNUA WKT WA MATOKEO TUMIENI AKILI ATA KIDOGO JMN MNATIA HAIBU KBISA
 
Nan kakwambia mimi n wa bunda?
Nitake radhi mkuu kwa kunijumlisha na watu wanaonunuliwa hunijui kabisa na wala hakuna wa kuweza kuninunua dunia hii thaman yangu n zaidi ya chochote hapa dunian rekebisha kauli. Huo ulikua mtazamo wangu sasa kama wewe unafikir kila mwenye mtazamo tofaut ananunuliwa, unakosea sana
 
Niko nasahanga Jimbo la Mkuranga UKAWA wamemkata kijana Baraka Mwago wa Chadema na kuwapa CUF. Kijana Mwago alikuwa anajituma sana kwa gharama zake kuhamasisha watu kujiandikisha BVR, kupiga kampeni ya kuitambulisha Chadema na mwishowe akashinda kura za maoni ndani ya Chadema, lakini wamemukataaa!! Jimbo likienda CCM asilaumiwe mtu bali uamuzi mbaya ndani ya UKAWA.
ni kweli lakini wewe unazungumzia leo lakini wenye kazi hiyo ya siasa wanaangalia mpaka kesho kutwa...
 
OK, umeeleweka na umesomeka!!. Hata CCM nao walikuwa wanaangalia hadi kesho kutwa na kuwakata wale wanaowafikiria wanaweza kuuza jimbo, kujitoa katikati ya uchaguzi au kujitoa baada ya kukaa bungeni angalau miezi michache ya mwanzo!!!
 
Back
Top Bottom