af wewe!
ila chidyaz walikuwa size yenu mi nilikuwa nshakuwa mzee!
wangekuwa na kaka zao wa five na six ingekuwa pooooooaaaaa!
mbwiga 88 umenikumbusha mbali na mzukila! Nakumbuka sie ndo tulikiwa form six wa kwanza ku graduate na mzukila! Enzi hizo ukwata wa mzumbe na kilakala umenoga usipime!
Aisee! umenikumbusha mbali enzi hizo nilikuwepo Tambaza tulisambazwa mikoani baada ya ugomvi na Azania.Haswaaa...hiyo wiki waliyotembeza mkong'oto ilikuwa heka heka hapa mjini maana kila mwanafunzi wa shule nyingine alikuwa anadundwa...
Since then shule ikaja kufungwa kwa muda na wale madent wakasambazwa mashule mengine...baadaye ndiyo ikafanywa kuwa A-Level tu...
Aisee! umenikumbusha mbali enzi hizo nilikuwepo Tambaza tulisambazwa mikoani baada ya ugomvi na Azania.
Kitu cha TOSA na IRINGA GALS..haha nouma jamn hapo.yn wadada na sket ya orange chn white raba..hatar TOSA Hapoo kwisha habar yao.:-D:-D
Lazalaza magesti ya Kilakala ilikuwa noma! Siku ikifika mtu unakaa standby unamsubiri patner wako from Mzumbe aje kukusalimu! Siku hyo no kusoma mawazo yote kwa 'mzumbe boy'
Wazumbe partners wetu walikuwa Kilakala (Kiley). Wakati mwengine ilitokea wakatutosa tukawa tunazugia na Moro Sec.
Kabla ya kulikwea lori la mzee Morris ilikuwa lazima twende Changalawe au Cheng kupata stimu ya mnanasi au mtunda then unasukutua na safari mbili pale IDM lecturers club ili harufu ya mnanasi iishe.
Baada ya disco wengine haturudi tunachukua room pale Sofia hotel. Room moja watu 15. Kesho yake tunaendeleza libeneke Moro Hotel disco/Shimoni