Habari Wakuu?
hii ni spesheli kwa wale waliosoma kipindi kilee change mwalimu mpaka mzee rukwa.mliofanikiwa kufika sekondari za bweni. wakati wa madisco shule zilikuwa na partners wako.naanza kwa hawa:-
mzumbe SEC=Kilakala secondary
Mazengo=Msalato secondary
....
,...Unaweza endeleza shule zingine na si Vibaya ukaweka na kumbukumbu ya mambo yaliyojiri kipindi hicho.nawakilisha
Zanaki girls na Tambaza.... nimeikumbuka TAMBAZANA LOL!
Milambo- tabora girls, japo tabora boys walikuwa wanaleta upinzani kwa hizi ortho directors
tukawa na spare kazima high school nao tunashare na washkaji wa pale pale
Lake Sec = Bwiru girls seco
Mwanza Sec = Nganza
Mpendwa wakati wetu ule Masharubaroo walikuwa waLake !! alafu bwiru gels ilibobea waPwani/Tanga .... Nsumba walikuwa vichanga bado hashakum Mkuu nisamehe... Ola la laaa okay nipahe zenu?mmmh Mkuu lake na bwiru girls kweli labda kwa sasa hivi nakumbuka zamani ni Bwiru boys na Nsumba ndo tulikuwa na ka ushindani kwa bwiru girls!!!!
Mpendwa wakati wetu ule Masharubaroo walikuwa waLake !! alafu bwiru gels ilibobea waPwani/Tanga .... Nsumba walikuwa vichanga bado hashakum Mkuu nisamehe... Ola la laaa okay nipahe zenu?
Binti ungelikuwepo enzi za Wu-Tamba...wale jamaa hawakuwa na muda wa disko ila wao walikuwa wanapuliza tu...
Kuna mwaka nadhani 1993 hao jamaa walitembeza mkong'oto kwa wanafunzi na waalimu wa shule zote za msingi Da'slam
Vizazi,vijana wa jijini si unawajua !....Lakini enzi zetu hazikuwa hivyo tulisasivu vibaya ! Eee mungu atusamehe nnaona haya nikijihisi ubabe niliyokuwa nao! good luck mkuuhahahahahaa...dah nakumbuka kuna siku tuliwaalika Lake kwenye mechi wakaja pale bwiru ..dah wale jamaa si tukawafunga sasa...wakatuchenjia bwana wakatufukuzia mabwenin woote..yani unapigwa mkwara katika himaya yako...umbulula huu
hahahaaa....! Sikowepo aiseee hiyo miaka ndio kwanza najifunza kusimama dede LOL!!!! Mie nimekuja cheza nao juzjuzi tu!!!!!!!
Ila nasikia Tambaza enzi hizo walikuwa wababe sana na wanaogopeka sana mpaka kwenye madaladala!!!!!!!!!!!!
halafu ile alevel ya tambaza PAPER II walikuwa mabitoooooz jamani!Haswaaa...hiyo wiki waliyotembeza mkong'oto ilikuwa heka heka hapa mjini maana kila mwanafunzi wa shule nyingine alikuwa anadundwa...
Since then shule ikaja kufungwa kwa muda na wale madent wakasambazwa mashule mengine...baadaye ndiyo ikafanywa kuwa A-Level tu...
ihungo sec na rugambwa sec yaliyojiri disco walimu kuingia kutoa mimacho wakati wa zero distance (nyimbo za blues) sasa wanafunzi wanatafuta switch ziliko wanazima taa,walimu wanapigwa upofu. siku rugambwa wakialikwa ma shule ingine kunakuwa ma beef la hatari ma vijana wa ihungo.