Nani wa kumshukuru mwenzake baada ya tendo la ndoa?

Nani wa kumshukuru mwenzake baada ya tendo la ndoa?

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,048
Reaction score
1,479
Tiririka na majibu kama swali linavyojieleza!​
 
Yule aliyepata utamu zaidi(aliyefaidi zaidi kuliko mwenzake),ndio wa kusema asante
 
Wote mnatakiwa mpeane asante kw kazi mliyoifanya na kama mme enjoy sawa kwa sawa unless mwanaume kamaumeejoy zaid huna budi kumwambia mkeo "asantw mke wangu nimeshiba"
Vivyo hvyo kwa mama kama umeshiba kumzidi mumeo sema asante mume wangu chakula kitamu saana"hapo mkishushia na bonge moja la Kiss mwaaahhhhh ....cc everhurt njoo utoe ushauri
 
Shukrani za nini vitandani..?? huku nako utoto mwingi. nilipotea muda sababu ya utoto mlion nao, nimerudi leo nikijua mmekua, kumbe bado lol...
 
Back
Top Bottom