[emoji17]hakuna...
Ndo maaana huletewi zawadi na umpendaye, Zote zinakwenda kwaa nyumba ndogo, you need to learn how to manage and monitor men through simple techniques, kama wewe unaona utoto kula kona na imekula kwako. Nasemaga mwanamke mjanja atatumia maneno matamu kumkamata mmeo wala hakuna cha mganga wala kulisha limwata, only sweet and appreciatetive words, SHAURI YAKO BIBIEShukrani za nini vitandani..?? huku nako utoto mwingi. nilipotea muda sababu ya utoto mlion nao, nimerudi leo nikijua mmekua, kumbe bado lol...
ahahaha dada asia usikwazike zoea tu.Shukrani za nini vitandani..?? huku nako utoto mwingi. nilipotea muda sababu ya utoto mlion nao, nimerudi leo nikijua mmekua, kumbe bado lol...
Si ndiye anayeachiwa mbegu,zikifanya kazi matokeo lazima yawepo km hazijafanya tutajaribu tena.....WHY?
Kweli hii scientifically proved????, otherwise watu kama mfalme Suleman aliyekuwa na wanawake 100+ wasingefika 100+ years. Tusiende mali ukienda maeneo ya Arusha, ukianza kuingia mbuga ya Manyara kuna mmsai ana wake 85, na amejenga shule yake kwa ajili ya watoto na wajukuu zake. Mbaya zaidi amekuwa kivutio cha utaliii, hapo bado life expectacy inafanya kazi.........have doubtMwanaume huwa anapoteza nguvu nyingi sana kwenye tendo la ndoa na huwa inachangia pia kupungua kwa life expectancy ya mwanaume ndo maana mimi huwa nakwepa sana kufanya tendo la ndoa mara kwa mara huwa nafanya mara moja tu kwa mwezi ili kuhifadhi nguvu pamoja na uhai wangu so mwanaume anatakiwa kupewa pole baada ya tendo!
Ndyo namaanisha hvyo Mkuu lazima akupe pole maana ww ndyo unayetoa kitu(manii) kwenda kwake na apewaye kitu hushukuruHay bwana lakini umesahau umepiga push up za kutosha, jasho hilo, hasa ukikutana na wale wa kuegesha tu, anyway twende kazi
iyo staili pendwa toka enzi za UKOLONIkhee , bado mnalaliana juu tu hadi leo
Mbon staili ya zamananayelaliwa juu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shukrani za nini vitandani..?? huku nako utoto mwingi. nilipotea muda sababu ya utoto mlion nao, nimerudi leo nikijua mmekua, kumbe bado lol...
Staili ya zamani but utamu ule uleMbon staili ya zaman