ISSA SHARAFI
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 407
- 75
Wanajamvi kwa cku nyingine mungu katujalia pumzi kwa wale alowapenda....
Naomba ushauri juu ya hli
Kuna rafiki yangu nasoma naye ktk chuo fulan hapa Dsm. Cku za hv karibun katutambulisha msichana mmoja kuwa ni mchumba wake na anataraji kufunga nae ndoa na huyo msichana pia ni collegue mwenzetu.
Ila kibaya ni kwamba huyo binti alikuwa anaishi na mvulana mwingine naye ni mwanafunzi mwenzetu ktk darasa moja. Na huyu rafiki yangu anajua mahusiano hayo na ameambiwa wameachana.
Sasa nkajaribu kuulizia kwa watu wengine nkaambiwa bado wapo kwenye mahusiano.
Je kipi kifanyike kumuepusha rafiki yangu na mateso na mambo yeyote ambayo yanaweza kumkumba kwa huyu mchumba wa kumchangia?