Myahudi wa Israel na Mpalestina: Nani hayupo tayari kuishi na mwenzake?

Umkonto

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
2,105
3,619
Uzi mfupi tu!

Nauliza, ni nani hayupo tayari kuishi na mwenzake kati ya Muisrael na Mpalestina.

Kuna ugumu gani hizi jamii ziishi kama nchi moja ili mgogoro huu uishe. Yaani Wapalestina wawe sehemu ya nchi ya Israel kwa sababu si Wapalestina wala Waisrael wana pa kwenda kwa sasa endapo mmojawapo atataka mwenzake aondoke katika ardhi hiyo.

Wapalestina ndio wangekuwa wa kwanza kukubali kuishi na Waisrael ili vita viishe, mana hao Wasrael wataenda wapi kwa sasa na wameishakuwa wengi!

Wapalestina watumie busara kama ya Wasouth Africa kukubali kuishi na Wakaburu ndani ya nchi moja.
 
Mkuu unasahau kwamba Wapalestina walikua wanaishi na wayahudi, Palestina ndio Nchi pekee iliowapokea wayahudi wakati Wanateswa Ulaya Nchi kibao za Ulaya zikiwakataa.

Ila wakaja wakawalipa Wema kwa ubaya.

Mfano Mzuri tu Baba yake Bela na Gigi Hadidi kwao walipokea Myahudi Toka ulaya wakawa wanakaa naye wanampa chakula wanaishi naye kama ndugu yao, ilivyoanzishwa state of Israel yule myahudi aliekaribishwa akaifukuza ile Familia iliomkaribisha wakawa Homeless wakakimbilia Usa hadi leo wametoboa Huko.

Tatizo halijawahi kuwa La Palestina
 
Toa ujinga hapa waarabu hata ndugu yao akizaa na mswahili wanamtenga. Leo unaongea nini kuwa wanataka kukaa na wayahudi?. Kuna mzee wakiarabu pale magole aliona mwanamke wa kiswahili watoto wakamtenga. Sembuse watake kukaa na wayahudi na uku wanatangaza kila siku wanataka kulifuta taifa la Israel. Uwajui waarabu vizuri. Wavaa mavazi ya kondoo ndani Ni mbwa mwitu wakubwa
 
Mimi naongea kitu kilichotokea wewe unaleta stori za abunuwasi.
 
Uzi mfupi tu!

Nauliza, ni nani hayupo tayari kuishi na mwenzake kati ya Muisrael na Mpalestina

Wewe leo hii upo tayari uwe mtumwa ?
thumbonlinecopy.jpg
 
Mkuu unasahau kwamba Wapalestina walikua wanaishi na wayahudi, Palestina ndio Nchi pekee iliowapokea wayahudi wakati Wanateswa Ulaya Nchi kibao za Ulaya zikiwakataa.

Ila wakaja wakawalipa Wema kwa ubaya.

Mfano Mzuri tu Baba yake Bela na Gigi Hadidi kwao walipokea Myahudi Toka ulaya wakawa wanakaa naye wanampa chakula wanaishi naye kama ndugu yao, ilivyoanzishwa state of Israel yule myahudi aliekaribishwa akaifukuza ile Familia iliomkaribisha wakawa Homeless wakakimbilia Usa hadi leo wametoboa Huko.

Tatizo halijawahi kuwa La Palestina
Aisee kumbe ndio hivyo, lakini kule Israel ndani ndani kuna Wapalestina wanaishi na Waisrael mitaani na maisha yanaenda.

Sasa labda ili waishi bila mgogoro inabidi iwepo nchi moja na jamii zijichanganye, kusiwepo sehemu ya Wapalestina na sehemu ya Waisrael.

Ila inaonekana Waisrael ni wabaguzi sana wamekutana na Waarabu jeuri hawakubali kushindwa. Ila hao Waisrael wangekubali kuja Uganda, Waganda wasingefurukuta, wangeishi nao tu!
 
Mimi naongea kitu kilichotokea wewe unaleta stori za abunuwasi

Mimi naongea kitu kilichotokea wewe unaleta stori za abunuwasi.
Nimeongea nilichokishuhudia siyo wewe ulichoadithiwa. Mara ngapi wanatesa wadada wa kazi mpaka kuwaangusha magorofani kwa hayo watu unajitia aibu kuwatetea niwashenzi tu
 
Mkuu unasahau kwamba Wapalestina walikua wanaishi na wayahudi, Palestina ndio Nchi pekee iliowapokea wayahudi wakati Wanateswa Ulaya Nchi kibao za Ulaya zikiwakataa.

Ila wakaja wakawalipa Wema kwa ubaya.

Mfano Mzuri tu Baba yake Bela na Gigi Hadidi kwao walipokea Myahudi Toka ulaya wakawa wanakaa naye wanampa chakula wanaishi naye kama ndugu yao, ilivyoanzishwa state of Israel yule myahudi aliekaribishwa akaifukuza ile Familia iliomkaribisha wakawa Homeless wakakimbilia Usa hadi leo wametoboa Huko.

Tatizo halijawahi kuwa La Palestina
Kwa sasa Wapalestina wamekuwa wengi, Waisrael nao ni wengi. Wote wanashindana kuzaliana.

Je, nani atampisha mwenzake kwenye ardhi hiyo zaidi ya kukubali kumaliza tofauti zao na kuishi pamoja?

Maisha ya Gaza yanatia huruma sana wanavyosongamana!
 
Uzi mfupi tu!

Nauliza, ni nani hayupo tayari kuishi na mwenzake kati ya Muisrael na Mpalestina

Kuna ugumu gani hizi jamii ziishi kama nchi moja ili mgogoro huu uishe. Yaani Wapalestina wawe sehemu ya nchi ya Israel kwa sababu si Wapalestina wala Waisrael wana pa kwenda kwa sasa endapo mmojawapo atataka mwenzake aondoke katika ardhi hiyo.

Wapalestina ndio wangekuwa wa kwanza kukubali kuishi na Waisrael ili vita viishe, mana hao Wasrael wataenda wapi kwa sasa na wameishakuwa wengi!

Wapalestina watumie busara kama ya Wasouth Africa kukubali kuishi na Wakaburu ndani ya nchi moja.
Shida Iko kote kote, Kuna waislam wenye msimamo mkali kama Hamas hawatakuwa tayali, pia Kuna wale wayahud wenye msimamo mkali wa dini yao hawatakubali kuishi na mwarabu
 
Aisee kumbe ndio hivyo, lakini kule Israel ndani ndani kuna Wapalestina wanaishi na Waisrael mitaani na maisha yanaenda.

Sasa labda ili waishi bila mgogoro inabidi iwepo nchi moja na jamii zijichanganye, kusiwepo sehemu ya Wapalestina na sehemu ya Waisrael.

Ila inaonekana Waisrael ni wabaguzi sana wamekutana na Waarabu jeuri hawakubali kushindwa. Ila hao Waisrael wangekubali kuja Uganda, Waganda wasingefurukuta, wangeishi nao tu!
Waarabu wote waisilamu na Wakristo ni 2nd citizen ndani ya Israel, kuna Haki wanayimwa kikatiba hawapati. There is a reason kwanini Israel inaitwa Apartheid state. Mpaka Vyombo vya Magharibi vya haki za Binadamu vinatambua kinachoendelea Israel ni Apartheid Soma Report YA amnesty

Nimeongea nilichokishuhudia siyo wewe ulichoadithiwa. Mara ngapi wanatesa wadada wa kazi mpaka kuwaangusha magorofani kwa hayo watu unajitia aibu kuwatetea niwashenzi tu
Kwani hapa wadada wa kazi hawauliwi? Kila nchi ina watu Wema na waovu, sisi Tunaongelea matukio ambayo yapo state level we unaleta tukio la individual halafu una generalize kama linafanyika Nchi Nzima.
 
Waarabu wote waisilamu na Wakristo ni 2nd citizen ndani ya Israel, kuna Haki wanayimwa kikatiba hawapati. There is a reason kwanini Israel inaitwa Apartheid state. Mpaka Vyombo vya Magharibi vya haki za Binadamu vinatambua kinachoendelea Israel ni Apartheid Soma Report YA amnesty

Aisee! Wa kulaumiwa ni huyo Mwingereza kuwarudisha hao Wayahudi Palestina. Asingejali habari ya Biblia akawaacha huko huko waliposambaa na maisha si yalikuwa yanaendelea tu!

Kama hawataweza kuishi pamoja, mwisho wake ni nini sasa! Kwa sababu watakaa watatulia, halafu watalianzisha tena.
 
Kwani hapa wadada wa kazi hawauliwi? Kila nchi ina watu Wema na waovu, sisi Tunaongelea matukio ambayo yapo state level we unaleta tukio la individual halafu una generalize kama linafanyika Nchi Nzima.
La kwako Ni la nchi nzima. Ulilihusisha vipi kuwa wayahudi ndiyo hawataki?.
 
Toa ujinga hapa waarabu hata ndugu yao akizaa na mswahili wanamtenga. Leo unaongea nini kuwa wanataka kukaa na wayahudi?. Kuna mzee wakiarabu pale magole aliona mwanamke wa kiswahili watoto wakamtenga. Sembuse watake kukaa na wayahudi na uku wanatangaza kila siku wanataka kulifuta taifa la Israel. Uwajui waarabu vizuri. Wavaa mavazi ya kondoo ndani Ni mbwa mwitu wakubwa
Ottoman’s empire(Islamic empire)ilidumu kwa miaka zaidi ya 500 Wapalestina waislam,wakristo na wayahudi wameishi kwa pamoja na ibada zao pale Jerusalem wakiwa pamoja. Mwaka 1914 Uingereza iliwaleta wazayuni kwa mikakati yao wanayo ijua wenyewe. Wakaanza na kununua ardhi na mpaka walipo Ona wapalestina hawauzi tena ardhi yao ndio wamekuja na njia ya vita.

Kwenye ubaguzi dunia nzima imejaa wabaguzi hata mweusi na mweusi wana baguana kama huamini nenda benki halafu aje mzungu au mhindi benki teller awe mweusi kama wewe angalia nani atapewa kipao mbele kwanza.
 
Aisee kumbe ndio hivyo, lakini kule Israel ndani ndani kuna Wapalestina wanaishi na Waisrael mitaani na maisha yanaenda.

Sasa labda ili waishi bila mgogoro inabidi iwepo nchi moja na jamii zijichanganye, kusiwepo sehemu ya Wapalestina na sehemu ya Waisrael.

Ila inaonekana Waisrael ni wabaguzi sana wamekutana na Waarabu jeuri hawakubali kushindwa. Ila hao Waisrael wangekubali kuja Uganda, Waganda wasingefurukuta, wangeishi nao tu!
Wayahudi walikataa kwenda uganda maana walikuwa wanajua nchi yao ni ipi na wanajua mpaka mipaka ya nchi yao. Kumbuka wayahudi/israel si kizazi/taifa la miaka ya karibuni. Wayahudi kwa imani yao na Mungu wao na wapalestina na mungu wao n imani yao katu hawawezi kaa pamoja na ndiyo maana huu ugomvi Mungu ndo atakuwa mwamuzi na si miaka mingi mwisho utaenda kufika
 
Ottoman’s empire(Islamic empire)ilidumu kwa miaka zaidi ya 500 Wapalestina waislam,wakristo na wayahudi wameishi kwa pamoja na ibada zao pale Jerusalem wakiwa pamoja. Mwaka 1914 Uingereza iliwaleta wazayuni kwa mikakati yao wanayo ijua wenyewe. Wakaanza na kununua ardhi na mpaka walipo Ona wapalestina hawauzi tena ardhi yao ndio wamekuja na njia ya vita.

Kwenye ubaguzi dunia nzima imejaa wabaguzi hata mweusi na mweusi wana baguana kama huamini nenda benki halafu aje mzungu au mhindi benki teller awe mweusi kama wewe angalia nani atapewa kipao mbele kwanza.
Wayahudi wakati wa ottoman empire tayar walikuwa taifa lililokuwa chini ya utawala wa taifa jingine kwa hiyo waliishi na jamii zingine si kwa aman bali kwa kulazimika yaan ni kama wakimbiz wa burundi walio makambin/uhamishoni Tanzania wanaishi na watanzani kwa kulazimika lakin sio kuwa wana aman furaha mioyoni mwao.
 
La kwako Ni la nchi nzima. Ulilihusisha vipi kuwa wayahudi ndiyo hawataki?.
Sababu imeandikwa kwenye Katiba na Sheria? Huitwi Apartheid state ikiwa hivyo vitu havitambuliki kikatiba, kama Ilivyokua South Africa Ubaguzi ulitambulika Kisheria na Palestina ni hivyo hivyo.

Tatizo Nyie mnashabikia vitu halafu Basic things za huo mgogoro hata hamzijui,

Kama lengo lako ni kujua Soma hapo kwanini Israel ni Apartheid state ukiwa na data za Amnesty, haki za Binadamu, Un Wenyewe hadi na Wacha mbuzi Wa Israel wenyewe wa nakubali hilo

Mkuu unasahau kwamba Wapalestina walikua wanaishi na wayahudi, Palestina ndio Nchi pekee iliowapokea wayahudi wakati Wanateswa Ulaya Nchi kibao za Ulaya zikiwakataa.

Ila wakaja wakawalipa Wema kwa ubaya.

Mfano Mzuri tu Baba yake Bela na Gigi Hadidi kwao walipokea Myahudi Toka ulaya wakawa wanakaa naye wanampa chakula wanaishi naye kama ndugu yao, ilivyoanzishwa state of Israel yule myahudi aliekaribishwa akaifukuza ile Familia iliomkaribisha wakawa Homeless wakakimbilia Usa hadi leo wametoboa Huko.

Tatizo halijawahi kuwa La Palestina
Acha unafiki na uwongo

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unasahau kwamba Wapalestina walikua wanaishi na wayahudi, Palestina ndio Nchi pekee iliowapokea wayahudi wakati Wanateswa Ulaya Nchi kibao za Ulaya zikiwakataa.

Ila wakaja wakawalipa Wema kwa ubaya.

Mfano Mzuri tu Baba yake Bela na Gigi Hadidi kwao walipokea Myahudi Toka ulaya wakawa wanakaa naye wanampa chakula wanaishi naye kama ndugu yao, ilivyoanzishwa state of Israel yule myahudi aliekaribishwa akaifukuza ile Familia iliomkaribisha wakawa Homeless wakakimbilia Usa hadi leo wametoboa Huko.

Tatizo halijawahi kuwa La Palestina
wewe ni mpotoshaj , wapalestina wanaish kwa aman ndan ya israel , pia mwaka 1948 nchi ilipoanzishwa na mipaka kuweka , ina myaudi aliyejikuta kwenye ardhi ya wapalestina alikuw na option 2 either akubali kuwa raia wa palestina au aende israel sasa kama anaeza hama na nyumva yake ni yeye , sasa hiyo story yako umeiandika kiunafki sana , hiyo familia ilikuwa ndan ya palestina iliyokuwa chini ya uingereza baada uk kuiachia huru mipala ikachorwa baina ya israel na palestina so kama hao wapslestina walijikuta ndan ya israel walikuwa na jambo moja tu kukubali kuwa raia wa israel wabakie ndan ya israel na nyumba yao au waende palestina na kama wakiweza kueba nyumba yap ni wao sasa sio swala la huyo waliempokea , usisahau zipo familia za kiyaudi zilijikuta ndan ya mipaka ya wapalestina na waliacha mali zao na kwenda kujijenga upya ndan ya israel ,pia hii sio ishu ya kwanza kutokea dunia hata Korea ilipogawanywa zipo familia walikutana na haya pia hata India ilipogawanywa kuwa pakistan na india zipo familia za kipakistan zilijikuta ndan ya mipaka ya india ila waliacha mali zao na kwenda pakistan the same to wahindu walifanya hivyo hivyo , MSIPOTOSHE UMMA ENYI WAISLAMU
 
Sababu imeandikwa kwenye Katiba na Sheria? Huitwi Apartheid state ikiwa hivyo vitu havitambuliki kikatiba, kama Ilivyokua South Africa Ubaguzi ulitambulika Kisheria na Palestina ni hivyo hivyo.

Tatizo Nyie mnashabikia vitu halafu Basic things za huo mgogoro hata hamzijui,

Kama lengo lako ni kujua Soma hapo kwanini Israel ni Apartheid state ukiwa na data za Amnesty, haki za Binadamu, Un Wenyewe hadi na Wacha mbuzi Wa Israel wenyewe wa nakubali hilo

Gaza kuna wakazi wayahudi wangapi?
 
Back
Top Bottom