Nani wa kulikomboa bara la Afrika?

Nani wa kulikomboa bara la Afrika?

Afrika buana! Hivi ni ugumu wa maisha au malezi magumu tuliyokuzwa nayo ndio umetufunga akili tusitambue jema? Bara hili pekee ndilo ambapo kiongozi anayeweka mbele maendeleo ya Taifa lake na kulinda maslahi ya wananchi wake huonekana adui, hupewa majina ya dikteta, mnywaji damu, mbaguzi, asiye na huruma, asiyetenda haki, hasa zile zinazohusiana na LGBTQ.

Ni kana kwamba kufanya yaliyo sahihi ni kosa. Je, Waafrika tumerogwa? Na kama kweli tumerogwa, aliyeiroga Afrika alishakufa au bado yupo hai, akicheka gizani?"
Alloyce, P.R.
NI mUUNGANO WA WAKOLONI WA ZAMANI KUJA KWA NGUVU YA KIJESHI A KUTUTAWALA MPAKA HAPO TUTAKAPOFIKIA MODERN EVOLUTION YA HUMAN BEINGS!
 
Naomba unifundishe namna ya kusimama kwenye forum kubwa za nje huku nikiongea.

Pliz Niko chini ya miguu yako 🙏.
Muone chini ya miguu yangu unafanya nini? 😅😅😅 wewe bado mtoto, ukikuwa nitakufundisha. Ujiamini, usome sana vitabu mbalimbali, uwe na uelewa wa vitu mbalimbali. Haya anza hivyo kwa kuanzia. Muone kama kweli vile unataka. secretarybird
 
Mkuu mi nina uelewa mkubwa wa vitu na vitabu huwa navisoma, kilichobaki ni hivyo vitu vidogo vidogo kama hivyo ninavyokuomba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom