Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,155
- 137,167
Fakoff uvumilivu my foot
I agree with you! Uvumilivu my ass.
nimeipenda hii!
Kaka kaizer yaani kusema ukweli unapoamua kuoa huwa mnachagua mwanamke ambaye mnajua fika anakufaa sasa atakapobadilika anza kwanza kujichunguza wewe penmgine ndio chanzo
Mimim ninakueleza nimeshaingia dhambi ya kuwaza kucheat mara kibao na si kwa sababu simpendi laaziz wangu nampenda sana na ndio maana nikaghairi but matendo yanapelekea kuwaza vinginevyo
Ninafeel kabisa yalomkuta shogake nyamayao
Mpiganaji, mimi sifagilii kabisa haya mambo ya ndoa. Ni total bs!
Mkuu yule Miss Mwanza na Lake zone (MG)na yeye ni wa 'matumizi' tu? LOL
Ila mmempa fame kweli hapa JF!
Hehehehehe...wewe ulidhani vipi?
pamoja sana!mimi mwenyewe naona ''the whole thing is out of phase by 180 degrees''Mpiganaji, mimi sifagilii kabisa haya mambo ya ndoa. Ni total bs!
Kisa na maana hukuteleleza kabisa ni nini, (huko 'kumpenda sana siamini,,,hasa pale unapojua kabisa kuwa amekucheat) LOL..ungemalizia kabisa kama alivofanya shogake mrs wangu nyamayao.....
hii weekend vipi tukale supu ya makongoro sehem sehem manake nina mpango wa 'kunywa' leo...😀
Mi nilidhani unachukua jumla kumzidi kete dogo yo yo....lol mi apo nitasubiria kama kwen bitorrent vile...heheheheheh
Kaizer sometimes mtu unakuwa na hasira ambayo ukiiendekeza inakupelekea kufanya vitu ambavyo unaweza kuregrete baadae.... thanx god kwa aliyevumbua kilevi maana nahisi isingekuwa hiyo ningekuwa na Fataki kama si serengeti boy tayari
Shit

basi basi basi MJO........'yana mwisho' haya, LAKINI: Usipovifanya wewe hivo vitendo, akavifanya yeye, matokeo ni yale yale, ndo ubaya wa hii formula!
Ni kweli but it need heart kumfanyia mambo yasiyofaa mwenzi wako ambaye ulideclare mbele ya kadamnasi kuw aunampenda
Hatukatai tunajua watu wanafanya but itakapofikia mtu anafanya hadharani bila kuogopa kumhurt mwenzi wake hapo hakuna mapenzi tena
What ever it is mradi inanisaidia ninapata usingizi walau kwa usiku otherwise mawazo yanawezanifanya niokote makopo barabarani..........................................
Dada, kama hayo ndiyo yamekukuta kwa nini usisepe tu? Ndio, itauma lakini maumivu hayatakuwa ya milele. Yatapoa tu na yakipoa utashukuru Mungu uliamua kufanya hivyo kuliko kukaa kuendelea kuwa ktk huo uhusiano ambao unakukosesha raha. Nini kinachokufanya usiondoke?