nani wa kulaumiwa kuhusiana na tatizo la umasikini nchini...?

bakarikazinja

Senior Member
Nov 9, 2009
177
8
Kwani tatizo hili limeanza kuwa kubwa sana na vilevile limeanza kuleta athari kubwa sana kwa jamii mwanzoni nilidhania wa kulaumu ni historia ya nchi lakini sasa nimejua hilo tu hali toshi hivyo wana jamii nalileta kwenu hilo.
 
umekosea mlango mkuu, umeingia chumba tofauti.
 
Back
Top Bottom