Ukibadili chaka hutoniona sababu nakuaga mgumu kwa 'member' 'senio member' na watu waliojoin '23 '24 kuendeleaSasa huyo ni mtani wangu sana sema tu akashindwa kunijua mpaka baada ya kubadil chaka ndio maana huwa namtania sana ππ.but Is a gud person
Hahahahahaha..mzee mwenzangu mimi sina ningekua nae ningemtajaMzee mwenzangu usihofu, wewe sema tu wala hatutajaliπ€£π€£ mbona mimi nilishasema yote kuhusu Joannah! ππ
Hahahahaha..kumbe eehUkibadili chaka hutoniona sababu nakuaga mgumu kwa 'member' 'senio member' na watu waliojoin '23 '24 kuendelea
Najua tu ni kanzu mpya hii maybe siku tushawahi kukwazana anataka kulipa kisasiπ
Huwa napandia ngazi kwa nyuzi zile ambazo hazibagu mpaka niwe expert ndio watu kama nyie tunaanzana hapoππUkibadili chaka hutoniona sababu nakuaga mgumu kwa 'member' 'senio member' na watu waliojoin '23 '24 kuendelea
Najua tu ni kanzu mpya hii maybe siku tushawahi kukwazana anataka kulipa kisasiπ
Mimi ndo nimejiekea hivyo kua watu wengi wa kweli ni wale joined 2017 kurudi nyuma tuliobaki wengi wasanii.Hahahahaha..kumbe eeh
Siku ya kwanza nilitamani nikutukane hadi nikakwambia nimemuheshimu huyo babu kwenye Avatar yakoHuwa napandia ngazi kwa nyuzi zile ambazo hazibagu mpaka niwe expert ndio watu kama nyie tunaanzana hapoππ
Ahahahahah..i remember the day.Siku ya kwanza nilitamani nikutukane hadi nikakwambia nimemuheshimu huyo babu kwenye Avatar yako
Unakuaga mkorofiπ
Sisi ni people tutakutana fake id zisitudanganyeAhahahahah..i remember the day.
Sasa mimi hii tabia ya ukorofi ndio naipendaga π
Sawa sawa uko sahihiMimi ndo nimejiekea hivyo kua watu wengi wa kweli ni wale joined 2017 kurudi nyuma tuliobaki wengi wasanii.
Na ndio maana huwa napenda kuheshimu kila mtu humuSisi ni people tutakutana fake id zisitudanganye
Wewe huna bayaNa ndio maana huwa napenda kuheshimu kila mtu humu
Ahsante Mkuu,RafikiWewe huna baya
When that time come I guarantee , u will be impressed, not personally, but am sure u will, socially, proffesionally etc.π .Sisi ni people tutakutana fake id zisitudanganye
Naamini maneno yako! Sababu wewe ni mkorofi kwangu usiyevuka mipakaWhen that time come I guarantee , u will be impressed, not personally, but am sure u will, socially, proffesionally etc.π .
Am not of this very version i potray hapa ππ
Umenirudisha home Ong'wise nenda pale SIMA ukale ugali na Maboboto π€£π€£π€£Siku ukipita pande hizi usihofu pa kufikia. Executive room ni ya kwako ππ.
Free WiFi, complimentary breakfast, spa, very cordial and professional staff, and for good measure, the real Nzagamba is on speed dial π€£, should you need his assistance.
View attachment 2940578
Nilidhani Wazee tumetengwa π€Hawa apa
Dr Lizzy
Mshana Jr
Pretty
AshaDii
Amyner
sweetlady
Rose1980
JS
DaMie
Mrembo
Depal
Evelyn Salt
Manyanza
Kalpana
Jadda
Nyani Ngabu
cocochanel
Maxence Melo
Husninyo
Grahams
Tresor Mandala
Niongeza ni To yeye na mshamba_hachekwi , Raine Col , ephen_ Leejay49 , Selikavu
Ukiona haupo ujue unadaiwa Afu 3 na ukikosa kwenye list ya baadae ujue wewe ni ombaomba
Hawa ndio ninaowakubali sana humu ndani since 2011 hapo baadae ntaongeza list nyingine ya Gen v
ephen_ sasa hiv anakuja kusema kuwa mimi na wewe ni Id moja ππ.admiration ya ndugu ni automatic kakaπππ... Haipingwi lakini brother βπ½