Mkongwe huyo salute nyingi sana kwake
Ukioa kule Wewe hufanyi kazi , kazi yako ni kula tunda tu. Mkeo anapika maandazi na kuuza Wewe umekaa pembeni na msuli na vesti kwenye kiti umekunja nne tu. Maisha mabovu sana yaleKaka Mwaka Jana, nilikuwa mtaa wa barabara ya 15 kule.
Aisee ili Baki kidogo tu, wangekuta Nisha oa kuleπ, maana chakula kizuri na ndo ugonjwa wanguπ€£
Kaka namleta huku , Kuna manzi ya tanga sema kaolewa π€.Ukioa kule Wewe hufanyi kazi , kazi yako ni kula tunda tu. Mkeo anapika maandazi na kuuza Wewe umekaa pembeni na msuli na vesti kwenye kiti umekunja nne tu. Maisha mabovu sana yale
Sema hili ni kweli, niliona Sana kuleπ€£.Ukioa kule Wewe hufanyi kazi , kazi yako ni kula tunda tu. Mkeo anapika maandazi na kuuza Wewe umekaa pembeni na msuli na vesti kwenye kiti umekunja nne tu. Maisha mabovu sana yale
Utakuwa masikini wa kutupiwa aisee hata kazi utakuwa haufanyi, muda wote demu ako na Kanga Moko π€£π€£π€£Kaka namleta huku , Kuna manzi ya tanga sema kaolewa π€.
Aisee ili tokea ghafla Sana, ila kwa idhini ya mola tuta oa kule,π€
Kwa kupika wale hawajambo aisee, lakini hata Wewe kibachela mapishi unaangalia YouTube tu. Unatoa msosi wa Kibaharia πππSema hili ni kweli, niliona Sana kuleπ€£.
Kuna sehemu nilikuwa naenda kula, wAna pika balaa.
kaka nitaoa nikiji pataπ€π€£, mpk Forbes au inside Africa wani mentionπ€£Utakuwa masikini wa kutupiwa aisee hata kazi utakuwa haufanyi, muda wote demu ako na Kanga Moko π€£π€£π€£
Supu ya samaki, wali kupaka, samaki wa kuchoma aisee Nita oa tangaπ€π€£Kwa kupika wale hawajambo aisee, lakini hata Wewe kibachela mapishi unaangalia YouTube tu. Unatoa msosi wa Kibaharia πππ
Utakuwa na kitambi mpaka utakuwa unakibeba kwenye toroli π€£π€£π€£Supu ya samaki, wali kupaka, samaki wa kuchoma aisee Nita oa tangaπ€π€£
Kaka wale ni balaaπ€π€£, ila Kuna viumbe wame tulia na Wana faa kwa kulaπ€Wanawake wa Kitanga jau sana, Kuna kipindi walikuwa wanaingia Zanzibar kupitia kule Nungwi kwa kutumia majahazi aisee waliteka Waume za watu wale Wavuvi unakuta Mtu kavua samaki la kilo hata 100 anaenda kuuza kwenye mahotel ya Watalii anaenda kupumzika kwa Majimama ya Kitanga Wiki mbili nguo hazikauki na anaogeshwa na anabebwa mgongoni. Alafu huyo mvuvi ana familia na familia inakufa njaa Yeye anakuwa ametekwa na Mwanamke wa Kitanga.
Hawafai wale Viumbe πππ
Moja kati ya starehe zangu ni kulaπ€£, i spend gud kwenye kulaπ€£.Utakuwa na kitambo mpaka utakuwa unakibeba kwenye toroli π€£π€£π€£
Huyo sio mzima ππUna uhakika gani? What if unajishtukia tu mwenyewe?
Si ndio hapo sasa ππNa amejuaje wamegeuka haters π€£π€£
ππππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Naunga mkono hoja dada yangu ππKheeee nitamuita Active
Unaleta mada za selfika
Akulambe kichwa
Siku ukipita pande hizi usihofu pa kufikia. Executive room ni ya kwako ππ.Mshaanza wenye nzagamba zenu.
I actually wrote this? [emoji1787][emoji1787]