Nani Sokoine wa kizazi hiki?

Nani Sokoine wa kizazi hiki?

Samia
Mpango
Majaliwa*
Mwigulu
Makonda?
Majaliwa ana Hotel ya kifahar kuliko zote kule Ruangwa. Anakosa sifa ya kuzuru kaburi la sokoine
Kiwanja ilipojengwa bank ya NMB Ruangwa ni mali ya majaliwa
Ana mashamba ya korosho kama yote.
Makonda ana mali kumzidi mkuu wa mkoa yyete kuwahi kutokea. Ameua watu, kutesa na kusingizia watu mambo mabaya pasi na ushahidi mf. Aliyeitwq mtto wa lowasa
Alimpiga ngwala wazir mkuu msataafu. Leo analizulu kkabur la sokoine?
Hembu tuwe serious kidogo
 
April 12, 1984 Nilikuwa na umri wa miaka zaidi ya 10. Nalikumbuka vizuri tangazo la Mwalimu akitutangazia kifo cha Waziri Mkuu aliyepata kupendwa zaidi na Watanganyika Tangu Uhuru Edward Moringe Sokoine.

Kilichosababisha kupendwa kwake ni jinsi alivyowajali watu wa Hali zote na kuhakikisha wote wanaishi maisha ya heshima na utu.

Upungufu mkubwa wa bidhaa uliojitokeza baada ya Vita ya "Kagera" kutokana na upungufu wa Dola aliushughulikia Kwa Moto mkali baada ya kugundua wafanyabiashara wanaficha bidhaa muhimu makusudi ili kuongeza uhaba Kwa lengo la kupandisha bei.

Ni kiongozi aliyewahi kuacha ofisi (Uwaziri Mkuu) na kurudi shule kuongeza maarifa katika kilimo na uchumi. Aliporejea 1982 Mwalimu akamrejeshea nafasi yake.

Sifa Kuu zilizomtifautisha Sokoine na wenzake wengi ni;

1. Kuchukia rushwa kiuhalisia.

2. Ufuatiliaji wa kina na uchukuaji wa hatua bila kuona muhali.

3. Kutojilinbizia Mali na kuridhika na mshahara na posho halali alizolipwa.

4. Hakuwa na upendeleo wa kieneo au kifamilia.

5. Kiongozi aliyejiona Mtumishi wa watu badala ya mtawala.
Nk. Nk.

Leo April 12, 2024 miaka 40 baada ya kifo chake cha ajali pale Dumila Morogoro serikali nzima iko Monduli.

Wanasema wamekwenda kumuenzi Sokoine. Wanakwenda kuenzi jina lake au matendo yake?

Nani anaweza kuwa hata nusu tu ya Sokoine? Nani robo ya Sokoine? Mbona kama wamekwenda kwenye sherehe ya Nanenane?

Mnakwenda kumuenzi Mtu ambaye matendo yake na yenu ni mbingu na ardhi?
Kizazi hiki hatutaki upuuzi wenu wa maujamaa ndio maana hata Viongozi wanapenda kujuika huko ni kula posho tuu hakuna anefuata ule ushenzi.
 
For sure tupo wengi na haturingi na wala hatujifichi 🐒

mwingine yupo Arusha, moja yuko pale ardhi na mimi niko huku chini kabisaa, na tunasonga mbele kushirikiana na kiongozi wetu shupavu sana wa inchi comrade Dr SSH,

we are determined to transform this country to the next level of development 🐒
 
Bashiru Ally
Huyo Bashiru ambae akiwa katibu mkuu kiongozi alichota pesa hazina kwa ajili ya kununua mashine ya kuwezesha matibabu ya raisi ikiwa raisi mwenyewe keshakufa lakini kagoma kutangaza.

Acha utani basi.
 
Na aliyafanya yote aliyofanya kwa uzalendo mkubwa tena bila kuonea mtu,wakati wake hakujawahi kuokotwa maiti kwenye viroba,au watu kupotezwa,au watu kujeruhiwa na watu wasiojulikana na wala hakuiba hela ya mtu iwe nyumbani au kwenye akaunti ya benki.
Lakini kuna majitu yalijitokeza miaka ya hivi karibuni yalikuwa yakitumia nguvu kubwa kujiita wazalendo kumbe yalikuwa ni zaidi ya mijambazi sugu,Mwenyezi Mungu ailaani na aipe adhabu kali popote ilipo,Ameen.
 
April 12, 1984 Nilikuwa na umri wa miaka zaidi ya 10. Nalikumbuka vizuri tangazo la Mwalimu akitutangazia kifo cha Waziri Mkuu aliyepata kupendwa zaidi na Watanganyika Tangu Uhuru Edward Moringe Sokoine.

Kilichosababisha kupendwa kwake ni jinsi alivyowajali watu wa Hali zote na kuhakikisha wote wanaishi maisha ya heshima na utu.

Upungufu mkubwa wa bidhaa uliojitokeza baada ya Vita ya "Kagera" kutokana na upungufu wa Dola aliushughulikia Kwa Moto mkali baada ya kugundua wafanyabiashara wanaficha bidhaa muhimu makusudi ili kuongeza uhaba Kwa lengo la kupandisha bei.

Ni kiongozi aliyewahi kuacha ofisi (Uwaziri Mkuu) na kurudi shule kuongeza maarifa katika kilimo na uchumi. Aliporejea 1982 Mwalimu akamrejeshea nafasi yake.

Sifa Kuu zilizomtifautisha Sokoine na wenzake wengi ni;

1. Kuchukia rushwa kiuhalisia.

2. Ufuatiliaji wa kina na uchukuaji wa hatua bila kuona muhali.

3. Kutojilinbizia Mali na kuridhika na mshahara na posho halali alizolipwa.

4. Hakuwa na upendeleo wa kieneo au kifamilia.

5. Kiongozi aliyejiona Mtumishi wa watu badala ya mtawala.
Nk. Nk.

Leo April 12, 2024 miaka 40 baada ya kifo chake cha ajali pale Dumila Morogoro serikali nzima iko Monduli.

Wanasema wamekwenda kumuenzi Sokoine. Wanakwenda kuenzi jina lake au matendo yake?

Nani anaweza kuwa hata nusu tu ya Sokoine? Nani robo ya Sokoine? Mbona kama wamekwenda kwenye sherehe ya Nanenane?

Mnakwenda kumuenzi Mtu ambaye matendo yake na yenu ni mbingu na ardhi?
Nivile Dunia haikuwa wazi hiivyo kama Leo LAKINI yawezekana alikuwa na mapungufu kibao sema taarifa hazikutembea na uwazi haukuwepo!!
Viongozi wengi hukonyuma wanasifiwa vile habari zao hazikuanikwa mtandaoni nk. Tusisiiifu kupitiliza nadhani alikuwa kiongozi wakawaiiida tuu lasivyo tuambie waziwazi aliongeza tija Kwa taifa katika maeneo gani hasaa maana hataicho kilimo hakikuonekana nanchi ilikuwa bawatu wachache!!
 
April 12, 1984 Nilikuwa na umri wa miaka zaidi ya 10. Nalikumbuka vizuri tangazo la Mwalimu akitutangazia kifo cha Waziri Mkuu aliyepata kupendwa zaidi na Watanganyika Tangu Uhuru Edward Moringe Sokoine.

Kilichosababisha kupendwa kwake ni jinsi alivyowajali watu wa Hali zote na kuhakikisha wote wanaishi maisha ya heshima na utu.

Upungufu mkubwa wa bidhaa uliojitokeza baada ya Vita ya "Kagera" kutokana na upungufu wa Dola aliushughulikia Kwa Moto mkali baada ya kugundua wafanyabiashara wanaficha bidhaa muhimu makusudi ili kuongeza uhaba Kwa lengo la kupandisha bei.

Ni kiongozi aliyewahi kuacha ofisi (Uwaziri Mkuu) na kurudi shule kuongeza maarifa katika kilimo na uchumi. Aliporejea 1982 Mwalimu akamrejeshea nafasi yake.

Sifa Kuu zilizomtifautisha Sokoine na wenzake wengi ni;

1. Kuchukia rushwa kiuhalisia.

2. Ufuatiliaji wa kina na uchukuaji wa hatua bila kuona muhali.

3. Kutojilinbizia Mali na kuridhika na mshahara na posho halali alizolipwa.

4. Hakuwa na upendeleo wa kieneo au kifamilia.

5. Kiongozi aliyejiona Mtumishi wa watu badala ya mtawala.
Nk. Nk.

Leo April 12, 2024 miaka 40 baada ya kifo chake cha ajali pale Dumila Morogoro serikali nzima iko Monduli.

Wanasema wamekwenda kumuenzi Sokoine. Wanakwenda kuenzi jina lake au matendo yake?

Nani anaweza kuwa hata nusu tu ya Sokoine? Nani robo ya Sokoine? Mbona kama wamekwenda kwenye sherehe ya Nanenane?

Mnakwenda kumuenzi Mtu ambaye matendo yake na yenu ni mbingu na ardhi?
Bado ananyonya,kwa sasa ukiangalia pale fisiemu wote majizi tupu
 
Back
Top Bottom