johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 91,130
- 158,439
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi amesema baada ya Kifo Cha Sokoine Maneno mengi yalisemwa ikiwemo " aliuawa kwa njama"
Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika Kifo Cha Sokoine Mwalimu Nyerere Alihusika au Alifaidika na Kifo hicho
Mwandishi huyo alisema Nyerere alihofia Sokoine akiwa Rais atapendelea mfumo wa Sekta Binafsi
Prof Kabudi anasema Mwalimu Nyerere alisikitika sana baada ya kusoma Makala hayo na kumwomba Mungu wa Mbinguni amsamehe Mwandishi yule
Source: Mwanahalisi Digital