Mimi ndiyo fisadi mkubwa mkuu.nawafisadi wote waliokuwa kwenye familia yangu na mimi mwenyewe najifisadi,ili niweze kuhumili haya maisha magumu,ili niweze kusomesha watoto,ili niweze kutenga hela za matibabu na mengi.najiibia mwenyewe mlo mmoja ili ni channel pesa zangu sehemu nyingine,ili watoto wasifukuzwe shule.sasa hapa fisadi mkubwa ni nani?jibu unalo mkuu.