Nani rais mwaka 2015

Nani rais mwaka 2015

nyie mnasumbuka2 mbona rais wa 2015 ameshafahamika ni lowasa, isipokua hivyo natembea na chupi kariakoo had tegeta.
 
Salim Ahmed Salim ,mengi,(chagueni watu wenye pesa zao ambao wanajua uchungu na pesa) sio mtu kuwa Raisi ndio matatizo yanapoanza
 
dr slaaaaa ndiye raisi wetu.......raisi wangu mtarajiwa
 
Mungu ndiye ajuaye Rais atakuwa nani. Mnaotaja majina mmeshawasiliana na Mungu kujua ni nani ataiona hiyo 2015?
 
Back
Top Bottom