Nani nimpende wajamani

Nani nimpende wajamani

mzee wa funny

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Posts
296
Reaction score
65
Habari zenu wana jf.nmeingia kwenye sintofahamu baada ya kumpenda dada mmoja , nilipomwambia akaniambia nisubiri atanijibu cha ajabu akaja mama yake mzazi akaniambia mwanangu nimemlea kwenye maadili mema yote kwa haraka zangu nikamjibu asante mama , mmama akaendelea kunijulisha mwanangu sitamruhusu kuwa na mwanaume asiyekamilika lazima nihakikishe aliyempata ni kidume kweli ,akaniuliza je wewe ni kweli kidume . sikumuelewa alimaanisha nn lkn nikamjibu ndiyo mama. akasema usiniite mama kabla ya uhakiki kama wewe ni kidume . akaendelea sasa kuna watu wawili watakao kuhakiki harafu watanipa majibu nami nitakuja kukuhakiki kwa mara ya mwisho sawa ? nikamjibu sawa . baada ya siku mbili akaja dada yake mkubwa na yule mama akaniambia nimetumwa na mama neo nikamjibu ndio mama akaniambia twende chumbani , tulipofika mama kavua nguo zote akasema unaanza uhakiki namba moja ukumaliza hii atakuja shemeji yako mtarajiwa ukutufikisha wote kileleni ndo mama mtu atakuja kumaliza sasa mwisho uliyempenda harafu utachagua ni nanai anayekufaa ila kifupi shemeji du ni noma ijui nimpende nanai sasa wajamani? naombeni ushauri:msela:
 
hivi mnayoyaandika humu ni ya kweli????

HUPATI PESA HUMU UKITUNGA STORY YA UONGO
 
Tatizo wewe ni mzee wa funny hata hili umeandika for funny

yaani na ndevu zangu niamini huu uongo ?
 
Last edited by a moderator:
Hata kama kweli lakini napata tabu kuamini kutokana na jina la mleta mada lilivyo.
 
Bongo kuna maajabu mengi sana. Hili linawezekana kabisa japo kuna watu kibao humu wanabisha
 
Back
Top Bottom