Nani ni rafiki yako wa kweli??

Rafiki wa kweli hatafutwi kwa ubani namna hiyo. Ni namna unavyoishi na watu utampata mnefanana kitabia na ndipo urafiki unapoanza. Usiamini sana juu ya urafiki maana huwa wasaliti wabaya. Tumeona wengi wanavyochukuliana wake zao. Unampa rafiki mkuyati kumbe anaenda kumpigia mkeo. Baki kama ulivyo.
 
my best friend and the truly one,so trusted friend,is my husband
 
Pole mamii sisi Wakiristu Bible inasema ni bora kukaa bila rafiki kuliko kukaa na rafiki mwovu,mimi nina few friends hawafiki hata 5 na huwa inachukua more than years kumkubali mtu awe rafiki yangu na siwapi nafasi ya kunielewa kwa undani coz yale machache tu wanayojua juu yangu wanawaeleza wengine je wakinijua kiundani.wala usijali live your life.
 
Pole mamii sisi Wakiristu Bible inasema ni bora kukaa bila rafiki kuliko kukaa na rafiki mwovu,mimi nina few friends hawafiki hata 5 na huwa inachukua more than years kumkubali mtu awe rafiki yangu na siwapi nafasi ya kunielewa kwa undani coz yale machache tu wanayojua juu yangu wanawaeleza wengine je wakinijua kiundani.wala usijali live your life.

Kweli kabisa sisi binadamu tuna hulka ya kubadilika badilika,sio vizuri kuamini sana rafik,japokuwa binadamu ni ngumu kuishi bila rafiki
 
Marafiki hawatafutwi,friendship inatokea automatically,kweli kuna mda binadamu tunahitaji watu wa kuwa karibu nasi,kufarijiana kupeana taarifa mbalimbali,inapendeza ila ni vizuri kuwa mwangalifu,kuna baadhi ya mambo sio ya kushirikiana na marafiki coz ipo cku tu utajuta maamuzi yako
 
Unapozidi kukua utaelewa unaweza kuwa na best friends wengi sana. Kuna rafiki utadhare naye financial issues (wangu yuko very selfish lakini ananifaa haswaa. Manake ananifuatilia na kuhakikisha natimiza nitakacho). Kuna rafiki mtashare mambo ya kiroho. Kuna career people na kuna mnaoshare mambo ya mahusiano.

Muhimu sana umjue kila mtu yukoje. Kuna rafiki mmbea na mdaku, mambo yako ya siri unaweka naye mbali kabisa. Ila ukifanikiwa ama kuanzisha biashara unamuambia ili atangaze kila mahali. Kuna mwenye wivu, usimuambie plans zako. Kuna anaekutakia mema na kukuombea, muambie magumu yako.

Nobody is completely useless. Jipange tu utaenjoy maisha hadi ujishangae. Na usiwe ruba ama possessive. Utachusha.
Asante kwa ushauri ila nakosa mtu wa kumwambia hw i feel kama rafiki.... kuna vitu cant tell mama.
 
una tofauti na Marekani wewe,
ishi na watu wote vizuri, tafuta sana hela. I prefer beneficial friends! I respect all and live "friendly" with them. But someone must have something to become one of my friend
 
Rafiki wa nini......?......hakuna faida yoyote wengine vyakubimbi tu......we baki hivyo hivyo.....kuwa na washkaji kimtindo hiyo inatosha.......
 
  1. BF1 - primary school std, 3-7. we lost touch after secondary school
  2. BF2 - a-lvl onwards; academic rivals, used to talk about feelings and blah blah.
  3. BF3 - freshman year UDSM, great litsener to my emotional problems, held my money 7-digits in junior year because i hadn't opened my account yet, didn't steal a penny.
  4. BF4 - from senior year UDSM, we talk about life na mishe mishe, was 'best man' at my grad party
nilifunguka kwa BF2,3,4 and they reciprocated, simple friend gestures and showed them I care

n.b. BF=best friend
 
Back
Top Bottom