Nani ni nani urais wa JMT 2025 kati ya Dr. Kalemani, Paul Makonda na Dr. Shein?

kifungu gani cha katiba kinsema hivyo
 
Kwa hiyo mna zamu ngapi?zinaendaje?Toka Ben ,JK mpaka mchungaji Jiwe.inabid usaidiwe.
Uongozi wa nchi kikatiba hauna zamu kinachoangaliwa ni sifa za mhusika tu.ingekuwa hivyo Nyerere asingemwandaa sokoine,pili baada ya mkapa angekuwa mzanzibar .
 
huyu unaemsema RC WA DAR ndo huyu unaemsema au kuna mwingine?
kama ni huyu unapoteza muda wako.. ni nani atakaekubali mtu mwenye fojari ya cheti cha elimu cha KUFOJI?
utasababisha chama kitakacho mteuwa kipoteze nafasi hiyo maana atapingwa kwa kufoji na akibisha atatakiwa athibitishe elimu yake ya FORM FOUR na pia jina lake halisi ndio vitakavyoitia hasara chama kitakacho msimamisha huyu msanii najua kile chama cha matukio ndio kuna baadhi yao wenye kufanana tabia za kibashite ndio watawaza kumsimamisha hii itakuwa powwa sana maana itakuwa kama kumsukuma mlevi.
 
God have Mercy on us ..............!!
 
Atakuwa Ibrahim Yusuf Mazimbwe, yeye yuko Morogoro analima nyanya na matikiti maji muda huu, Nyanya zote na Matikiti yanayoliwa TZ anamkono wake, amejizolea umaarufu mkubwaaa
 
Ramli Chonganishi.
Ila kwakua umesema Ni tetesi zinaweza kubadilika muda wowote
 
Asad tena? Huyu hana hulka za kisiasa.
 
Mtoa post acha dharau kabisa................ kweli makonda zero brain aongeze taifa jiji limemshinda amebaki kuita wanawake single na wajane hana lolote huyo ameshiliwa na gundi siku mvua kali ikinyesha lazima ilainike na itoke
 
Wewe hutaamini lakini subiri
 
Hizi tetesi sio za mtu anaye. Jitambuwa pia haujuwi mfumo. Sio makonda Wala kaleman hawajawahi fikia vigezo vya Magufuli hawa ni wakawaida sana na Uwenda watapotea ktk siasa baada ya mkuu. Take from me
Kwa taarifa yako watang'aa na huenda moja wao akaukwaa urais huku Magufuli akirudi Chato kula pension.
 
Kuhusu hii ya bara na pwani cna hakika nayo sana maana alipotoka Mkapa akaja Jakaya wote hao ni bara ila nnachokijua na nina uhakika nacho raisi ajae lazma awe muislam Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Jakaya,Magufuli....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashite na vyeti vyake feki akamuongoze nani? Ukuu wa mkoa tu, kashikizwa pale hatujui wana ajenda gani na jiwe. Huyu alitakiwa awe jela kwa ugushifu wa taaluma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…