Nani ni mtu wa muhimu kwako kati ya uliyekaa naye hapo karibu au aliyeko mbali na mlipo?

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
1615786351352.png
 
unaweza ukawa mbali na mtu lakini ukahisi ukaribu naye kwa namna anavyohakikisha mnakuwa na mawasiliano ya mara kwa mara na yenye afya na unaweza ukawa karibu na mtu lakini mawasiliano yakawa mabovu na hafifu na yasiyo na afya,kwa hiyo inategemea

nimejibu kulingana na heading ya thread yako na sio picha uliyoambatanisha
 
Natamani kungekuwa na uwezo wa kunena /kusocialize na wafu ningempigia baba million Times a day...
Ni miaka 20 Sasa Tangu umetuacha...
Juzi mama Alikuwa hapa Nyumbani kwangu kusheherekea mwaka mpya ...Mazungumzo yote yalikuwa kukuhusu baba ...
Kiukweli Mimi ...
Maggie,Benson na James Tumekumiss Sana.
Pumzika kwa Amani.
 
kwani mkuu una regrets zozote kuhusiana na namna ulivyokuwa na mawasiliano na baba yako? haukuwa karibu naye?
 
Sina regrets zozote mkuu...natamani Tuu angekuwepo/kungekuwa na uwezo wa kuzungumza nae .. nimwambie baba nimekuwa mkubwa Sasa, nimeachive baadhi ya Mambo ulivyokuwa ukitamani kila siku niyafikie.
Tulikuwa na desturi kila jumapili Tunakwenda sehemu kwenye fukwe ya ziwa fulani .. then Tunapiga stori... Alikuwa Zaidi ya baba ,Alikuwa rafiki.
And so many things mkuu...
Nilikuwa mdogo Ila Mengi nayakumbuka.
 
oh kumbe basi sawa mkuu,

Am so sorry for your loss,inaumiza sana kumpoteza mmoja wa wazazi,au mtu yeyote tunayempenda sana,

i just hope utakuwa kama baba yako kwa watoto wako,

All the best kiongozi.
 
unaweza ukawa mbali na mtu lakini ukahisi ukaribu naye kwa namna anavyohakikisha mnakuwa na mawasiliano ya mara kwa mara na yenye afya na unaweza ukawa karibu na mtu lakini mawasiliano yakawa mabovu na hafifu na yasiyo na afya,kwa hiyo inategemea

nimejibu kulingana na heading ya thread yako na sio picha uliyoambatanisha
Mkuu mbona unajihami hahahahahh utafikiri umeona marking scheme
 
nimeona heading na picha havirelate ndo maana ikabidi niweke wazi mkuu
Mkuu kwenye picha hao watu watatu wako karibu lakini hawaoni umuhimu wa ukaribu wao badala yake wanachat na watu ambao wako mbali nao- ndiyo maana nikauliza nani ni wa muhimu uliyenaye karibu au aliyeko mbali?
 
ah okay sawa mkuu
 
Back
Top Bottom