Nani ni mkuu(boss) katika hii picha?

Nani ni mkuu(boss) katika hii picha?

PM hutumia saikolojia siku zote and of course he is good almost in everything.
 
yaani ktk watu wapole na wanyenyekevu ktk viongozi Tanzania hii,basi hiyo PM anachukua nafasi ya kwanza namfahamu tokea yupo UDSM jamaa safi sana anafaa kuwa raisi!!
 
Mtoto wa mfalme we Anko jifanye kuleta kihere here kama nape utalala nje
 
Dogo kameza hirizi ya Simba nini? Watu wakikutana naye ni full kitete.
 
Back
Top Bottom