Nani ni kama mimi?

Chalii ya R mbna unamletea uyo mamsi asha kugaya mteme...... tu

Ata kama anakijambio bwaku mbona viko vya kuchele chaliangu.
 
Dunia iko kwingine kabisa kwa sasa, hakuna upendo wa kweli, ahadi zinavunjwa, usaliti umetawala.

Usiwekeze upendo kupita kiasi kwa mtu, rudi kwenye akili timamu za kumsoma mtu na uwe tayari kwa lolote lile. Hautaumia.
 
Jiuzuru, ndungai keshakuonyesha njia. Achana na hayo mambo
 
Wew acha kulia lia kama umemuonesha mzazi wako picha kuwa yeye ndo future

Ndo ikuumize ivo aah usiwe ivo things pass!
Potezea Tu achakulia toka nje kutana na watu wengine

Maisha yanaendelea
 
Dunia iko kwingine kabisa kwa sasa, hakuna upendo wa kweli, ahadi zinavunjwa, usaliti umetawala.

Usiwekeze upendo kupita kiasi kwa mtu, rudi kwenye akili timamu za kumsoma mtu na uwe tayari kwa lolote lile. Hautaumia.
Nimejifunza asantee saguda 47
 
Bora wewe nani kama mimi niliepewa limbwata halafu nikaachwa na limbwata bado linafanya kazi!!..
polee sanaa maskini oga maji ya chumvi na kuwa na imanii libwata itaishaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…