Nani ndo GOAT wa Rhumba?

Wewe Pimbi bado tu hujapata Wateja ili utupumzishe kutusumbua na hizi Posts zako za Matangazo kila mara katika Threads za Members hapa JamiiForums?
 
Usipojua vizazi vya muziki wa Congo ni ngumu kuuchambua, huwezi mfananisha Franco na Pepe Kalle au Madilu na Ferre Gola, pia kila mwanamuziki ana namna yake ya uimbaji na upigaji wa vyombo, kwa ujumla wanamuziki wote wa Congo walioshine hapa Bongo hao ni wazuri na hakuna mkali kuliko mwingine kwa ujumla ila ukali wa msanii fulani ni kutokana na sikio au mapenzi ya msikilizaji.

Pamoja na yote nimesikitika nguli Madilu System kutotajwa kwenye hiyo orodha feki.
 
madilu ni mwanafunzi wa franco, alikuzwa na bendi ya TP OK JAZZ
 
ivi unajua rhumba asili yake ni franco?
 
Wewe kweli Ujuhi Miamba ya Rhumba,la Congo, Mwamba Aswa ni Grand kalle na Wendo kolosoni, Awa ndio Miamba ya Rhumba la Congo
🤣 🤣 mwanzilishi wa rhumba ni nan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…