ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
Kuna swala la kuupenda muziki, halafu kuna swala la umaarufu. Hivi ni vitu viwili tofauti. Zamani kulikuwa na rekodi ya mizoki gani inauzwa zaidi na inakaa kwenye chat. Joseph Kabasele amekuwa kwenye chat kwa miaka mingi na nyimbo nyingi ukimfananisha na Pepe Kalle. Pia Pepe Kalle ni generation tofauti na kina Franco, kwahiyo nyimbo zake pia ni tofauti.Muziki kila mtu anaupokea kwa ladha yake , mimi binafsi nasikiliza nyimbo za Pepe kalle mpaka leo.
kama unajua rhumba vizuri basi waliopo apo juu ndo watu wazito wa rhumba wote waliopo apo juu ndo waanzilishi wa mindoko ya rhumba, Ferre gola na fally izo rhumba za studio hazina uzitoKwa mara ya kwanza tangu nikufahamu umeandika uzi kabambe.
Hata hivyo si rahisi kumtaja mtu mmoja kwenye swali lako, hii ni kwa sababu Rhumba ina vipengere kadhaa, hakuna msanii mmoja anaweza kufit mote.
Yuko pia Nyoka Longo, lakini kwenye kizazi kipya kuna Ferre Gola, kiukweli hili ni eneo pana mno!
Fally usilinganishe na Ferre, Baada ya Tanzania kupoteza Ushawishi kutokana na Utekaji na Umasikini, Mara kadhaa nafuata Rhumba Nairobi au Lusaka nafahamu Rhumba vizuri mnokama unajua rhumba vizuri basi waliopo apo juu ndo watu wazito wa rhumba wote waliopo apo juu ndo waanzilishi wa mindoko ya rhumba, Ferre gola na fally izo rhumba za studio hazina uzito
unajua Franco ashakuja bongo mara kadhaa kuperformKuna swala la kuupenda muziki, halafu kuna swala la umaarufu. Hivi ni vitu viwili tofauti. Zamani kulikuwa na rekodi ya mizoki gani inauzwa zaidi na inakaa kwenye chat. Joseph Kabasele amekuwa kwenye chat kwa miaka mingi na nyimbo nyingi ukimfananisha na Pepe Kalle. Pia Pepe Kalle ni generation tofauti na kina Franco, kwahiyo nyimbo zake pia ni tofauti.
Tukumbuke kuwa huku East Africa nyimbo za Congo zilianza kupata umaarufu miaka ya 70 baada ya serikali ya Mobutu kuyumbisha uchumi. Kwahiyo wanamuziki waliokuwa maarufu kabla ya miaka ya 70 hawana umaarufu sana East Africa.
Mkuu nilijua wewe ni siasa na soka tu, kumbe na huku kwetu unapatikanika.Yuko pia Nyoka Longo, lakini kwenye kizazi kipya kuna Ferre Gola, kiukweli hili ni eneo pana mno!
Yes, lakini by the time anakuja Bongo umaarufu wake ndani ya Kongo ulikuwa umeshavuka kwenye kilele.unajua Franco ashakuja bongo mara kadhaa kuperform
Nimemkubaliyuko vizuri
Mimi napenda Zaiko Langalanga, na hapo juu baadhi ya nyimbo kidogo za Franco na huku kwa Tabuley napenda Nyimbo za Faya tesshahaha sawa basi tupe kura yako apo kwa hao watu wazito apo juu, fally na ferre ni vijana wadogo sana kwa hao watu apo juu
Yeah, nimeona alianza kuzifatilia hizi Rhumba za 2000s za kizazi kipyasema sasa yeye naona anapenda rhumba za wakina 100 kilos, hawa wakina franco naona hajawaskiliza sana
Jikite kwenye mada yakoyuko vizuri sema tu aliamua kuchagua upande mbovu 🤣 🤣