Nani mwenye makosa jamanii!!!

Nani mwenye makosa jamanii!!!

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
Kuna jamaa alitaka kumuumiza mpenzi wake kwa masihara tu, kwakua wapo mbali mbali mikoani, huyo jamaa akamwandikia mpenzi wake,(nimepata mpenzi mwingine wewe sikutaki tena! kwahiyo ile picha yangu niliyokupa nirudishie!!!!)Basi yule dada akalia sanaaa!!! Kwa uchungu akatafuta picha za wanaume kama 10 tofauti tofauti hivi! Akamtumia huyo jamaa na kumweleza; (Nimekusahau, hebu tafuta picha yako na unirudishie za mabwana zangu!!!!) Heeee jamaa kwa uchungu si akajitia kitanzi! Je mwenye makosa ni nani hapo jamani!!?
 
Mapenzi yanaweza kusababisha mauaji. Si jambo la kufanyia mzaha HATA KIDOGO!
 
Mapenzi yanaweza kusababisha mauaji. Si jambo la kufanyia mzaha HATA KIDOGO!

ni kweli kabisa, masihara kwenye mapenzi, nooo!!! hata waigiza vichekesho wakifika kwenye suala la mapenzi, mizaha huwa pembeni
 
Aliyejiua! Haaa bora yangu niko single
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom