Nani mwenye kampuni ya tshirts na caps printing

Nani mwenye kampuni ya tshirts na caps printing

muggyen

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
347
Reaction score
254
Heri ya pasaka wana jf
Natafuta mtu mwenye kampuni ya kufanya prints kwenye caps na tshirts kwa mfumo wa screen printing ,heat transfer na embroidery kwa bei nzuri ma wenye uwezo wa kufanya kazi kwa haraka kwa few days preferably siku mbili au chini ya hapo
Kampuni hio inapaswa iwe dar ili tuweze fanya kazi
Natanguliza shukrani
 
Toa info zako tafadhali
Kama vile simu na location pia
 
Shukrani nmeona ila kwa ushauri tafuta namba ya biashara
Angalia kiasi cha watu ambao wanaweza pitia hii thread na kukutafuta kwa ajili ya biashara kumbuka pm ametumiwa mtu mmoja tu
 
Shukrani kama waweza taja bei hapa kwa faida ya wengi itakua vizuri
 
0712 261 887 Hi ni namba yangu mpya kwa ajili ya biashara tu
By j4 ntakua nmeshainunulia simu ila maadam nina ya kwako naweza anza kukutafuta hata sasa kwa namba yangu ya familia na marafiki
 
Nataka niandike Jina Jezi yangu ya Mbeya City !

BaBa Elvis > itanigharimu kiasi gani sitaki yale maneno yanayobanduka nikifua !
 
sisi tunafanya SCREEN PRINTING, EMBROIDERY na HEAT TRANSFER ila gharama inategemea na NEMBO,MANENO(ukubwa na wingi wa maneno) pamoja na RANGI zitakazotumika/kuchanganywa.sasa basi ili kumpa mteja bei sahihi ni vema kuona nini anataka KUPRINT i.e nembo,maneno na aina ya rangi japo huwa tunaanza kwa gharama ya Tsh 1,000.

KARIBU SANA TEMEKE ndala street TUFANYE KAZI MKUU
 
Back
Top Bottom