cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,707
- 5,090
Nimekuwa nikifikiri jinsi namba moja alivyopatikana na hatimae kawa namba Moja Kweli Bila kutarajia nafsi zote hzo alizo hudumu hadi hivi sasa.
Sasa siyo vibaya tukawa na list ya watu wanao weza kutanya hi kaz nyepesi kbsa.
Sasa 2025 siyo mbali Ni Bora tukamuandaa mtu mwingine mapema kwani Kuna kila dalili kwamba hata gombea Tena awamu hyo 2025 hvyo ni vzr tuwe na watu wakufanya kaaz hi iliyo mshinda.
Nafikiria
1. Polepole angetufaa ila Hana mke
2. Bashiru All Kakurwa pia afikiriwe atupelek ktk nnchi ya ahadi jamaa ni 89% ni Magufull kabisa
3. Mwigulu ila hafai kbsa siasa zake ni za hvyo sinaa hasa kwa upinzani
Kwa upinzani, tumpe Lisu tu Hana mpizaani kbsa anaweza kbsa.
Kama una mgombea wako una muhusudi ni vzr pia awekwe hapa huenda tukaunga mkono wazo lako.
Majaaliwa ya Mungu nadhani atatuvusha vyema zaid ya mzee baba aliyetangulia mbele za haki