Ombenichelsea
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 752
- 1,051
Mwabukusi anafaa sana. Ni mzalendo wa kweli.
Anaongoza matahahira tu hata pesa za kununua mafuta Hakuna uongozi gani huoKutokuwa na mke ni moja ya vigezo?... Mbona Chief Hangaya hana mume na anaongoza japo kwa kiasi chake?
Hahahah yule nae Ni mzee wa timu timu na magenge ya wafisadi Bado ataongozwa na jk tu endapo jamaa atapewa nnchiEmmanuel Nchimbi
Kaama Ni kuchagua Ni mmoja pekeee anafahaa Bashiru tu1. Joseph Butiku
2. Humphrey Polepole
3. Bashiru Ally
4. Dr. Slaa
5. Tundu Lissu
6. Job Ndugai
7. Kassim Majaliwa
8. William Lukuvi
9. Halima Mdee
10. Paul Makonda
Duh mpango TenaKizazi hiki sioni mtu ila Philip Mpango anaweza kuwa na nafasi kubwa kuliko wengine.
Niko tayari mafisadi na wasomi mbumbumbu wote ndaniTukupe ww bro
Hahaha kumbe Ana yakeNdugai hafai ni mshamba wa wazungu, wachina na Waarabu
Ndio tutaachna na huu ujingaa wa kuuza rasilimali zetu kwa Bei ya kutupaYan apewe nchi mtu wa calibre ya bwana yule!?? You mast bi kreze
Sahih kbsaa mwabukuzi akipata atatuvusha1. Polepole- Siasa za kistaarabu zisizo za kudhuru watu hasa upinzani anaweza ila ana uwezo mkubwa wa kupambana na Mafisadi na wote wazembe.
2. Bashiru- huyu Mafisadi watapigwa risasi hadharani na ana actions za hapo kwa hapo kama Magufuli.
3. Majaliwa- huyu kutokana na nafasi yake aliyoitumikia ameshaji define hana maamuzi magumu mfano mzuri mambo yanayotokea anaogopa hata ku comment tu. Kwahiyo Nina mashaka naye.
4. Makonda: itoshe kusema ana msimamo mkali sana wa Kimajumui.
5. Tundu Lissu ni kama Magufuli tu ila Lissu atatumia Sheria kuwaangamiza Mafisadi.
6. Mwabukusi- Huyu halitasalia jiwe juu ya jiwe. Yaani atapukutisha kizazi Cha walamba asali wote.
7. Ummy Mwalimu: Anaweza vizur management ila kwenye maamuzi magumu atakuwa kama Mama tu.
8. Juma Aweso: huyu atafaa sana kwasababu akiwa na mamlaka kamili ana maamuzi magumu na actions za papo kwa papo.
9. Mimi Mwenyewe, kwanza mimi nitareform mfumo mzima wa Serikali na nitafukua makaburi kwa yeyote aliyewahi kuhusika na ufisadi nitarara nae Mbere!
Hizo namba sio kwa Ubora au umuhimu ni Serial number tu.
Huyo taaahira Nani ampe nnchiLucas mwashambwa angefaa sana.
Jamaa ana jitihada za kuweka namba za simu kwenye maandiko yake kama mganga wa kienyeji kwa matumaini ya kuonekana lakini wamemlia bati tu. Anasifia mpaka visivyosifiwa.Huyo taaahira Nani ampe nnchi
Na ndio mwanzo wa kupata tanganyika yetuMwabukusi anafaa sana. Ni mzalendo wa kweli.
Ni taahira yule nahisi Ni kijana tapeli tu wa uvccmJamaa ana jitihada za kuweka namba za simu kwenye maandiko yake kama mganga wa kienyeji kwa matumaini ya kuonekana lakini wamemlia bati tu. Anasifia mpaka visivyosifiwa.
Mh swla la kubadili chma naona Kama gumu ila naamin huwenda mtu akaingia Kisha akajibadili na kuwa na kaliba ya kimagufuli kwanza kwa kuwa eliminate wale wote mafisadiUmefika wakati tujadili kuhusu chama mbadala maana watu kwenye taasisi yetu ya urais hawajaleta tija tarajiwa nadhani tukibadili chama tunaweza kupata mtanzania mwenye sifa stahiki
Mkuu, tunapojadili mambo serious ni vizuri kuwa serious pia. Najua umesema kwa kukejeli, lakini kuna watu unaweza kuwasaidia kwa kuonyesha seriousness yako wazi. Siko against you, lakini nahimiza tuwe serious!Jamaa ana jitihada za kuweka namba za simu kwenye maandiko yake kama mganga wa kienyeji kwa matumaini ya kuonekana lakini wamemlia bati tu. Anasifia mpaka visivyosifiwa.