Nani mwenye kaliba ya "Kimagufuli" tumpe nchi 2025?

Labda Tundu Lisu pekee ndio anaweza kuwa na ujasiri wa Magufuli na pengine hata kumzidi . Huyu mwamba akikalia nchi kuna vigogo watahama kabisa hii nchi na wengine wataozea jela .
Tuache ushabiki na matani ya kipuuzi maana kuna mtu kamtaja Juma lokole(Serious).

Mwingine labda Majaliwa Kasimu at least ni Mkali kiasi ila anatanguliza Busara mbele
 
Hawezi penya mtu mwenye khaliba izo otherwise aingie then abadilike baada ya kutake power......

Yaan Magufuri na ujanja wote na uzalendo wake wote aliishiwa kuliwa kichwa na washenzi....

Kwangu...

MAGUFULI IS JUST LIKE A DOUBLE EDGED SWORD 🗡️⚔️🗡️
Magufuli alikuwa mshamba na ,toka lini msukuma akawa mjanja.Ndio maana alikuwa kichwa kimasihara sana.
Unatakiwa kuwa kama Putin,ukiona una SAuti ya ndani ya kutaka kubalisha vitu lazima uanze Ku fix maadui zako kwanza haijalishi uwezo wao hata kama wao ndio waliokupendekeza katika nafasi hiyo.
 
Nimekuwa nikifikiri jinsi namba moja alivyopatikana na hatimae kawa namba Moja Kweli Bila kutarajia nafsi zote hzo alizo hudumu hadi hivi sasa.

Sasa siyo vibaya tukawa na list ya watu wanao weza kutanya hi kaz nyepesi kbsa.

Sasa 2025 siyo mbali Ni Bora tukamuandaa mtu mwingine mapema kwani Kuna kila dalili kwamba hata gombea Tena awamu hyo 2025 hvyo ni vzr tuwe na watu wakufanya kaaz hi iliyo mshinda.

Nafikiria

1. Polepole angetufaa ila Hana mke

2. Bashiru All Kakurwa pia afikiriwe atupelek ktk nnchi ya ahadi jamaa ni 89% ni Magufull kabisa

3. Mwigulu ila hafai kbsa siasa zake ni za hvyo sinaa hasa kwa upinzani

Kwa upinzani, tumpe Lisu tu Hana mpizaani kbsa anaweza kbsa.

Kama una mgombea wako una muhusudi ni vzr pia awekwe hapa huenda tukaunga mkono wazo lako.
HATUTAKI MADIKTETA

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kutokuwa na mke ni moja ya vigezo?... Mbona Chief Hangaya hana mume na anaongoza japo kwa kiasi chake? :oops:🤔
 
1. Joseph Butiku
2. Humphrey Polepole
3. Bashiru Ally
4. Dr. Slaa
5. Tundu Lissu
6. Job Ndugai
7. Kassim Majaliwa
8. William Lukuvi
9. Halima Mdee
10. Paul Makonda
 
Kuna watu wakishiba kababu kwa shemeji zao wanakera sana. Yaani kabisa mtu anakuja mbele yetu na madevu yote haya kututajia polepole na bashiru eti wawe maraisi 2030 baada ya mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, kuondoka?!!! U can't be serious!

Hao hawafai hata kidogo, kwanza misimamo yao ni ya kuiga......sio ya asili. Pili, hawana msimamo..........hawajui wanasimamia nn!!
 
Back
Top Bottom