Nani mwenye kaliba ya "Kimagufuli" tumpe nchi 2025?

Mwabukusi hoyee!
F4Td0_ya0AAJm4w

Watanganyika Oyee
 
Kiongozi mkubwa kama Rais anapaswa kuwa mtu ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya Taifa lake na watu anaowaongoza. Sioni mwingine zaidi ya huyu Mwamba Wakili Msomi Boniface Mwabukusi.
Labda atatusaidia pia Watanzania wengine kuondokana na uoga uliokithiri!
Sahih kbsaa
 
Kuna watu hawa.
1. Bashiru Ally
2.Kasim Majaliwa
3.Antony Mtaka.
4. Paul Makonda
Bashiru jizi linalojificha nyuma ya u communist.

Kassim ni muongo mpaka kupitiliza uongo wenyewe.

Mtaka bado hajakuwa u brotherman umemjaa.

Bashite hafai kabisa kajawa na sifa kuliko uwezo wa kutekeleza mambo. Itakuwa mwendo wa matamko ya kiboya kila kukicha.

Ni wakati sasa tujifunze kufikiria nje ya mazoea. Kwanini iwe majina hayo hayo kila kukicha. Wapo watumishi wengi wenyewe ueledi na uthubutu wamekosa fursa tu za kuonekana.
 
Hii nchi itakiwa kuongozwa na rais mbabe asiyecheka na kima yeyote shambani awe wa ndani au wa nje. Kina mwigulu, makonda, chalamila na wengine wa kariba ya magufuli
Makonda ,chalamila Kweli hata sijui waliwezaje kuwa wakuu wa mikoa
 
Kuna watu hawa.
1. Bashiru Ally
2.Kasim Majaliwa
3.Antony Mtaka.
4. Paul Makonda
Bashiru baada ya kupewa ukatibu mkuu CCM alisema hatagombea tena na ndio cheo cha mwisho so mwacheni apumzike, Majaliwa ni muongo kuliko waziri mkuu yeyote kutokea Tanzania, Makonda ni mpuuzi hata ubalozi wa nyumba kumi asipewe, Mtaka simjui
 
Karata yangu bila kupepesa macho bora tuongozwe na watu wa vitengo na kijana naye muona ni sullemani jaffo ana ogopeka maana ni mtu mwenye msimamo yake n ndio Maana kasahaulika
Tokaa uko jafo Tena yey si ndio atatupeleka shimoji tamisemi tu imemshinda
 
muongo bana siku ile si alitudanganya kweupeee eti 'mhishimiwa' haumwi anachapa kazi!
Hata Hili swla la badndari katupiga kamba mbaya anasema mkatba utakuwa Kama tics wkt Ni uongo mkubwa

Haikaa jamaa Ni muongo tu
 
Back
Top Bottom