Nani mwenye kaliba ya "Kimagufuli" tumpe nchi 2025?

Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde
Mpe mafuta akupake mgongo wako huyo falaa
 
Hawezi penya mtu mwenye khaliba izo otherwise aingie then abadilike baada ya kutake power......

Yaan Magufuri na ujanja wote na uzalendo wake wote aliishiwa kuliwa kichwa na washenzi....

Kwangu...

MAGUFULI IS JUST LIKE A DOUBLE EDGED SWORD
Sasa Nani CCM atapewa Kisha abadili gia angani
 
Back
Top Bottom