Me370
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 985
- 293
Asalam Alaykum,
Leo katika kijiwe chetu kukawa na ubishi kidogo, embu chukulia hii scenario
Mgeni kaja, mwenyeji ukaingia kwenye Fridge ukamchukulia Pepsi ukampa. Baada ya mgeni kufungua ile soda akaangalia nyuma la kizibo na kukuta kuna ushindi wa Millioni Moja. Je mwenye ile haki na ile pesa ni nani na kwanini unaona hivyo?