Nani mwenye akili kuliko Mwl Nyerere?

Nani mwenye akili kuliko Mwl Nyerere?

MI MPAKA LEO SIAMINI KAMA KUNA MWENYE AKILI NA BUSARA KAMA NYERERE
sasa busara zake zinasema hivi ......................
"Huwezi kuniua kwa nia njema, halafu useme kwamba haujaniua. Utakuwa umeniua tu. Na ukifufua serikali ya Tanganyika ni sawa na kuua Muungano, kama hamlijui hilo.
Hivyo, huwezi ukavunja Muungano halafu ukasema kwamba haukujua kama utauvunja MUUNGANO, Utakuwa umeshauvunja, na hautaweza kuurudisha tena. Msidhani mimi (Nyerere) na Karume hatukuziona serikali tatu" - Mwl. Nyerere 1993, Dodoma.

Nashangaa mbowe na magwanda ya chadema yanampinga Mwalimu nyerere kama sio laana kumpinga mzee nyerere ni nini

jini mahaba? unataka kutuambia nin?
 
Kuna watu kibao tu wanaakili kuliko nyerere, wewe unamjua kambona, alikuwa jembe sio kawaida na nyerere alikuwa akiona kiongozi yoyote anamzidi fuatilia historia utaona alikuwa anamfanya nini
 
Sidhani kama alikuwa na akili kiasi ambacho mnamsifia.. muungano ni mgogoro tu toka uwepo wake.

Nyerere alikosea mengi tu na mojawapo ni hili la kuiuwa Tanganyika.

Kama alivyoshindwa ujamaa.

Kama alivyoshindwa uchumi.

Na hili la uchumi linajionesha wazi kuwa limeshindwa.

Anaebisha kama fikra za Nyerere hazidumu basi aongelee Serikali tatu. Mimi wa kwanza, naongelea Serikali tatu.

Unaakili sana.
 
Mkuu naona unataka kuturudisha kwenye hii kitu..

"Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama" .....kiitikio "Zidumu"

Kufikia hatua ya kusujudu hata fikra za binadamu mwenyeko ni hatari sana.

Kweli kabisa.
 
MI MPAKA LEO SIAMINI KAMA KUNA MWENYE AKILI NA BUSARA KAMA NYERERE
sasa busara zake zinasema hivi ......................
"Huwezi kuniua kwa nia njema, halafu useme kwamba haujaniua. Utakuwa umeniua tu. Na ukifufua serikali ya Tanganyika ni sawa na kuua Muungano, kama hamlijui hilo.
Hivyo, huwezi ukavunja Muungano halafu ukasema kwamba haukujua kama utauvunja MUUNGANO, Utakuwa umeshauvunja, na hautaweza kuurudisha tena. Msidhani mimi (Nyerere) na Karume hatukuziona serikali tatu" - Mwl. Nyerere 1993, Dodoma.

Nashangaa mbowe na magwanda ya chadema yanampinga Mwalimu nyerere kama sio laana kumpinga mzee nyerere ni nini
wewe kweli mwehu kweni nyerere si binadam tu nae anakosea vilevile.., au ndio wale mnaotaka aitwe Mtakatifu nyerere/..,
 
MI MPAKA LEO SIAMINI KAMA KUNA MWENYE AKILI NA BUSARA KAMA NYERERE
sasa busara zake zinasema hivi ......................
"Huwezi kuniua kwa nia njema, halafu useme kwamba haujaniua. Utakuwa umeniua tu. Na ukifufua serikali ya Tanganyika ni sawa na kuua Muungano, kama hamlijui hilo.
Hivyo, huwezi ukavunja Muungano halafu ukasema kwamba haukujua kama utauvunja MUUNGANO, Utakuwa umeshauvunja, na hautaweza kuurudisha tena. Msidhani mimi (Nyerere) na Karume hatukuziona serikali tatu" - Mwl. Nyerere 1993, Dodoma.

Nashangaa mbowe na magwanda ya chadema yanampinga Mwalimu nyerere kama sio laana kumpinga mzee nyerere ni nini
Ufupi wa akili yako ndiyo uliyo kufanya uandike haya, sasa kama hakuna mtu mwenye akili zaidi ya nyerere na mtu mwenyewe kaisha kufa sasa unasubiri nini duniani, kunywa sumu ufe, kila mtu anaakili kama unajishughrishs kufikili...Usibweteke...unaodhani wana akili zaidi yako watakubeba! amka sasa!
 
Mzee busara alikuwa nazo lakini mambo ya kijinga alofanya ni pamoja na kuiua Tanganyika.
 
Sidhani kama alikuwa na akili kiasi ambacho mnamsifia.. muungano ni mgogoro tu toka uwepo wake.

Nyerere alikosea mengi tu na mojawapo ni hili la kuiuwa Tanganyika.

Kama alivyoshindwa ujamaa.

Kama alivyoshindwa uchumi.

Na hili la uchumi linajionesha wazi kuwa limeshindwa.

Anaebisha kama fikra za Nyerere hazidumu basi aongelee Serikali tatu. Mimi wa kwanza, naongelea Serikali tatu.

Nilitaka kukupa Like ila nikaona Haikutoshi!Katika siku zoote, Leo Naomba Kukupongeza na Kukubaliana na wewe.Kila Binadamu ana Akili, mazingira na hali za kiuchumi na kijamii ndizo hupelekea baadhi ya watu kujiona wao si kama wengine.Watu ambao bado wanaamini kuwa ni Nyerere peke yake ndo alikuwa na Akili hapa Tanganyika, wanasumbuliwa na Infiriority Complex ambayo watadumu nayo hadi kufa kwao.Ninaamini kuwa nina Akili ya kuweza Kumkosoa Binadamu awaye yeyote kama hakuwa au hayupo Sahihi.Muungano wenyewe nimejaribu kutafuta taarifa kama ulikuwa na Backup ya Wananchi Husika, kumbe hauna Backup yeyote zaidi ya Usanii wa Nyerere na Karume (though the main purpose was for Security issues).
 
MI MPAKA LEO SIAMINI KAMA KUNA MWENYE AKILI NA BUSARA KAMA NYERERE
sasa busara zake zinasema hivi ......................
"Huwezi kuniua kwa nia njema, halafu useme kwamba haujaniua. Utakuwa umeniua tu. Na ukifufua serikali ya Tanganyika ni sawa na kuua Muungano, kama hamlijui hilo.
Hivyo, huwezi ukavunja Muungano halafu ukasema kwamba haukujua kama utauvunja MUUNGANO, Utakuwa umeshauvunja, na hautaweza kuurudisha tena. Msidhani mimi (Nyerere) na Karume hatukuziona serikali tatu" - Mwl. Nyerere 1993, Dodoma.

Nashangaa mbowe na magwanda ya chadema yanampinga Mwalimu nyerere kama sio laana kumpinga mzee nyerere ni nini

Laana kwani nyerere ni Nabii? Kama angekuwa na akili angeliwavisha makaniki?

Kama angekua na akili angewapa elimu au akili yake ni kuwanyima elimu mukawa wajinga mpaka leo mumerithi.

Kuna kitu gani aliwafanyia cha maendeleo wakati wa utawala wake?

Alikuwa na akili kwakua mulikua wajinga mpka sasa.
 
Simba wa Afrika
attachment.php
 
Mzee busara alikuwa nazo lakini mambo ya kijinga alofanya ni pamoja na kuiua Tanganyika.

Busara zipi hizo? alikuwa hana busara hata kidogo alikuwa dikteta, kuna dikteta mwenye busara?
 
Mkuu naona unataka kuturudisha kwenye hii kitu..

"Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama" .....kiitikio "Zidumu"

Kufikia hatua ya kusujudu hata fikra za binadamu mwenyeko ni hatari sana.

Usiondoe neon sahihi kwa faida yako, kama ni sahihi hata za mke wangu zidumu
 
MI MPAKA LEO SIAMINI KAMA KUNA MWENYE AKILI NA BUSARA KAMA NYERERE
sasa busara zake zinasema hivi ......................
"Huwezi kuniua kwa nia njema, halafu useme kwamba haujaniua. Utakuwa umeniua tu. Na ukifufua serikali ya Tanganyika ni sawa na kuua Muungano, kama hamlijui hilo.
Hivyo, huwezi ukavunja Muungano halafu ukasema kwamba haukujua kama utauvunja MUUNGANO, Utakuwa umeshauvunja, na hautaweza kuurudisha tena. Msidhani mimi (Nyerere) na Karume hatukuziona serikali tatu" - Mwl. Nyerere 1993, Dodoma.

Nashangaa mbowe na magwanda ya chadema yanampinga Mwalimu nyerere kama sio laana kumpinga mzee nyerere ni nini
we id yako inatosha kujua ni mtu wa aina gani?

wewe kama unaupenda sana muungano washawishi wazenji tuwe na serikali moja vinginevyo ni utaahira wa akili unakusumbua, na njaa .

unajikomba Lumumba, fanya kazi halail upate kuishi siyo kujikomba komba kwa watawala ambao wamechoka

hawajui wananalolifanya kwenye ofisi zetu tukufu zaidi ya kusafiri kama "vasco dagama
"
 
Hivi nyie maGreat thinkers iweje mumtegee mwanadamu mwenzenu tena marehemu awaendeshee maisha yenu?? Are you serious???
 
An ye sema hakuna mwenye akili zaidi ya nyere ni mbulula
 
MI MPAKA LEO SIAMINI KAMA KUNA MWENYE AKILI NA BUSARA KAMA NYERERE
sasa busara zake zinasema hivi ......................
"Huwezi kuniua kwa nia njema, halafu useme kwamba haujaniua. Utakuwa umeniua tu. Na ukifufua serikali ya Tanganyika ni sawa na kuua Muungano, kama hamlijui hilo.
Hivyo, huwezi ukavunja Muungano halafu ukasema kwamba haukujua kama utauvunja MUUNGANO, Utakuwa umeshauvunja, na hautaweza kuurudisha tena. Msidhani mimi (Nyerere) na Karume hatukuziona serikali tatu" - Mwl. Nyerere 1993, Dodoma.

Nashangaa mbowe na magwanda ya chadema yanampinga Mwalimu nyerere kama sio laana kumpinga mzee nyerere ni nini
Ndani ya CCM hakuna ila nje ya CCM wapo kibao. Tatizo nililoliona kwenye chama hiki ni kuwategemea mno 'intellectually dishonest'. Hawa ni sawa na 'wapiga ramli' tu na wamepata mradi wa kuutetea muundo wa serikali mbili kwani kwa kufanya hivo wanapata mlo wa siku. Kuendelea na mfumo wa serikali mbili ni sawa na kuendeleza mgogoro wa Israel na Palestine kwani wapo wanaofaidika na mgogoro huo. Angalia sasa wanavozusha vitisho, hoja za kuutetea mfumo wao wa serikali mbili hawana. "The road to hell is paved in good intention", Azimio la Arusha halipo, ujamaa haupo (upo kwenye karatasi za chama tu), kujitegemea hakupo (wawekezaji ndio imani sasa) na sasa muungano unavunjwa kwa kung'ang'ania serikali mbili. Tunasubili muda tu.
 
Back
Top Bottom