Nani mwanzilishi wa balaa hili??

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,702
Kila kijana utakaekutana nae barabarani hata wewe unaesoma hii thread na wengine wameshatendwa(kuumizwa kimapenzi)kutokana na hali kuna ambao wameamua kutokuwa waaminifu au wengine wanarevange kwa kuwatendea wengine hivyo,matokeo yake idadi ya watendwa inaongezeka,ni nani alie anzisha kati ya mwanaume na mwanamke??
 
kwani wewe haujatendwa??? mbona umetumition sisi tuu tuliosoma na wanaopita barabarani wewe haumo... kama bado hujatendewa omba dua yasikukute utatamani mauti hapooo,,hongera yako kama hujatendwa umthamini sana huyo unaempenda maana kakufanyia kazi kubwa sana katika maisha yao mpenzi...
 
aisee hizi topics. jipange fresh kabla ya kuziwakilisha. unaweza kuwa na point lkn uwasilishaji ukawa inshu
 
Kila kijana utakaekutana nae barabarani hata wewe unaesoma hii thread na wengine wameshatendwa(kuumizwa kimapenzi)kutokana na hali kuna ambao wameamua kutokuwa waaminifu au wengine wanarevange kwa kuwatendea wengine hivyo,matokeo yake idadi ya watendwa inaongezeka,ni nani alie anzisha kati ya mwanaume na mwanamke??

Si mimi na wewe siku ile tumeanzisha? Sasa unauliza nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom