Nani mwaminifu katika ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani mwaminifu katika ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Milindi, Oct 12, 2012.

 1. M

  Milindi JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 1,213
  Likes Received: 374
  Trophy Points: 180
  Ni maajabu ila ni simulizi la ukweli kabisa,Dada mmoja kafunga ndoa mwezi mmoja haujaisha,Mumewe yupo mbali kikazi,Na kabla ya hapo alikuwa na uhusiano na kibosile mmoja wa council.Sasa baada ya kutoka kufunga ndoa na honeymoon week hii kampigia simu hawara yake na kumwambia amerudi na kuapa kuwa wataendelea kula tunda hapo mwanamme kwa furaha kabisa akukubaliana kuwa ukiwa na hamu nishitue nikukamiishie raha hiyo;Mwana ndoa katoa sharti kuwa lazima iwe nje ya wilaya ndipo wata du!!!True story experience''''
   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mimi ni mwaminifu sijui wenzangu
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mmmhhh job true true
   
 4. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  True story yako haina kichwa wala miguu,atleast ungeandika huku umetulia ingeleta maana kidogo,otherwise watakuja kuchangia walioelewa!!
   
 5. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  What next?
   
 6. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mwaminifu ni malaika tu kwa sasa.
  tusubiri judgement day.
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Siku zote kicheche sio wife material
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Yule aliye amua kuwa mwaminifu!
   
 9. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  smtms najiuliza kwann watu wanaingia maisha ya ndoa ilhal bado wanahitaj kuwa free na kutoka na wapenzi wengine? Kwanin wasibac mabachelor wajinafac kwa uhuru? Why do people get married??
   
 10. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  ndo mana niponipo kwanza, ndoa bado sanaaa
   
 11. gobore

  gobore JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 730
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kwa maelezo yako na kwa usemi wako mwenyewe kuwa hiyo ni "true story xperience" inaonekana wewe mwenyewe ndio huyo kibosile wa council
   
 12. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Eti kwa style hii UKIMWI uishe Afrika!!!
   
 13. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  watu tatizo wabishi....kama ukitaka kuwa na ndoa imara hamna mambo ya kuishi miji tofauti. siku hizi kuna locationships tuu so ni partner wako akawa katika hiyo location uliyopo wewe.
  dah ila mwana atakula bupa kwa raha zake na hamna bupa tamu kama ya mke wa mtu
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  point ni watu wasiwowane au?
   
 15. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Malindi si useme tu wewe ndiye kibosile wa council, details kama hizo umezijuaje.

  Ushauri wangu, uache; Mke wa mtu ni dhambi!
   
 16. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Cha kuiba hakiishi hamu hata siku moja..ila sasa ukikamatwa ndo utajua maharage mboga au futari!??!
   
 17. M

  Milindi JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 1,213
  Likes Received: 374
  Trophy Points: 180
   
Loading...